Hidden Diamond
JF-Expert Member
- Jan 31, 2024
- 260
- 481
Radio ya machawa..Kombolela leo wamefanya tour redioni
Unajua kujihusisha na ccm ilikuwa sehemu na kujapata kipato sema kosa lao kubwa ni kutudharau tuSio juakali, kombolela, dunia, big boss na tamthilia nyingine mnadhani wasanii mmeshaona nguvu ya wa wananchiπππππunafki wenye umewaponza watu wengi walikuwa wanahitaji Sana support yenu kama nyie mlivyosappotiwa na wapi mwisho mkaendekeza Sana uchawa wenu.
Anyway bigup sana Rose ndauka, Jakline wolper na wasanii wengine mliokuwa na wananchi tangu mwanzo
SahihiUnajua kujihusisha na ccm ilikuwa sehemu na kujapata kipato sema kosa lao kubwa ni kutudharau tu
Billion 100 unakula mpaka unakufa? Subiria waumwe..Nasikia kibunda walicholipwa na ccm wamaweza kula mpaka wanakufa
Wolper mtoe hapo.Sio juakali, kombolela, dunia, big boss na tamthilia nyingine mnadhani wasanii mmeshaona nguvu ya wa wananchiπππππunafki wenye umewaponza watu wengi walikuwa wanahitaji Sana support yenu kama nyie mlivyosappotiwa na wapi mwisho mkaendekeza Sana uchawa wenu.
Anyway bigup sana Rose ndauka, Jakline wolper na wasanii wengine mliokuwa na wananchi tangu mwanzo
So mchezo ukila laki kila siku bilioni moja unaifuta kwa muda gani?Billion 100 unakula mpaka unakufa? Subiria waumwe..
Daah ila CCMπππkwahiyo hizo billion 100 sijaelewa mkuu walitoa kwa wasanii wote au???Billion 100 unakula mpaka unakufa? Subiria waumwe..
Hapo wataujua wenyewe.. unajua kuna jambo natamani kulisema ila kuna kitu kinaniambia usiliseme kwanzaDaah ila CCMπππkwahiyo hizo billion 100 sijaelewa mkuu walitoa kwa wasanii wote au???