Series zangu bora za muda wote

Series zangu bora za muda wote

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Posts
35,812
Reaction score
107,628
Hii ni orodha ya series zangu bora za muda wote nilizowahi kuona..I assure you ukiziangalia hutajuta.
1. Prison Break
Akili kubwa imetumika kutengeneza series hii Wentworth Miller katumia vizuri nafasi aliyopewa acheze. Yoyote aliyewahi kuiona naimani anaipigia salute..Heshima kwake mtunzi wa series hii PAUL T STCHEULING
FB_IMG_15754788557476019.jpeg
 
2. 24 Hours
Keifer kaicheza vizuri sana muvi hii.. ukiangalia kwa makini utawaheshimu watu wa idara ya usalama jinsi wanavyokesha kuhakikisha Wananchi tunakua salama. Matukio mengi yanazimwa kimya kimya
FB_IMG_15754788631540963.jpeg
 
Hii ni orodha ya series zangu bora za muda wote nilizowahi kuona..I assure you ukiziangalia hutajuta.
1. Prison Break
Akili kubwa imetumika kutengeneza series hii Wentworth Miller katumia vizuri nafasi aliyopewa acheze. Yoyote aliyewahi kuiona naimani anaipigia salute..Heshima kwake mtunzi wa series hii PAUL T STCHEULINGView attachment 1281898
Mkuu tuwekee link tupakue
 
4. Spartacus
Mimi hii nachoipenda jinsi vidume vya haja vinavyoonyeasha ubabe humu... nilipenda kwakua ni stori ya kweli iliyotokea kipindi hiko.. RIP Andy Whitefield aliyecheza s1 na S2 akafariki..
Salute pia King Leonidas wa Spartan kama umeona muvi ya 300 wajua naongea nn
FB_IMG_15754788721312940.jpeg
 
6. Hii mimi nilikua naizarau ila nilivyoiona tu ikaninasa nilichopenda humu Muziki napenda Hip Hop na RNB hafu vyote vipo humu.. kuna watu wanachana hatari..
250px-Empire_season_5_poster.jpeg
 
Wewe uki recommend kitu kamwe sipuuzii. Nitazisaka@Wick,
 
Back
Top Bottom