Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
Nimeisubiri mda mrefu sana.Ukiacha GOT inafata Viking ninazielewa snaEe imetoka season 6 lakini ndio kwanza ina eps 2 tu saiz.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeisubiri mda mrefu sana.Ukiacha GOT inafata Viking ninazielewa snaEe imetoka season 6 lakini ndio kwanza ina eps 2 tu saiz.
Ngoja niangalie link ya TorrentNaoma links ya hii nikaibakue mkuu
9. Jumong
Hakuna histórico drama kama hii duniani
Mpaka sasa kwa upande nadhani ndo movie tamu niliyoipenda haswa.Season 4 ikija basi itakuja na new character maana kuna utata jamaa wanataka pesa nyingi hao waigizaji wakina sunny nandio maana hata season 3 walishot kimagumashi magumashi au Netflix anunue hii show itakuwa poa.
Wale macharacter wanataka hela ndefu iliwaendelee kucheza hiyo series.
Mkuu inakuaje mfani umedownload movie kwenye simu au pc pamoja na subtitle zake, kwenye simu na pc zinaplay vizuri, ila ukiocopy movie kwenye flash ukaplay kwenye tv subtitle hazipo?Movie atafute humu Search and Browse YIFY Movies Torrent Downloads - YTS
Series atafute humu KickassTorrents - Download torrents from Kickass Torrents
Akitaka subtitle yoyote ile akaisearch series/movie huku https://yts.io/subtitles
adownload file la subtitle then hilo file akaliweke ilipo series/movie yake yani yawe kwenye file moja!.
Play!
Ni smart TV au za kawaida tu!?. Nadhani Mafile yakiwa sehemu tofauti inakuwa tabu kwa baadhi ya TV kingine ni format ya TV yenyewe!..Mkuu inakuaje mfani umedownload movie kwenye simu au pc pamoja na subtitle zake, kwenye simu na pc zinaplay vizuri, ila ukiocopy movie kwenye flash ukaplay kwenye tv subtitle hazipo?
Na baadhi ya tv huwa na font mbaya ya subtitleNi smart TV au za kawaida tu!?. Nadhani Mafile yakiwa sehemu tofauti inakuwa tabu kwa baadhi ya TV kingine ni format ya TV yenyewe!..
Me kwa TV basi SONY BRAVIA, BOSS, SAMSUNG, LG na HISENSE ndio nakubali mizigo yao!.Na baadhi ya tv huwa na font mbaya ya subtitle
ni smart mkuu hisenseNi smart TV au za kawaida tu!?. Nadhani Mafile yakiwa sehemu tofauti inakuwa tabu kwa baadhi ya TV kingine ni format ya TV yenyewe!..