usihangaike na hiyo series ni mbovuu sanaa...Ni nzuri sana nianze kuicheki??
Hii na AMERICAN DAD naona si za watoto!!
sawyer na hugo walikuwa wanaichangamsha show [emoji23][emoji23][emoji23]Lost kuna kiumbe kinaitwa Benjamin Linus.
sijui nilimsahau vipi KUNTA dadeq!!!. Bonge la historical series. Huwa nahisi 12 years a slave waliiga hii kiaina!.
Sawyer noma sanaaaa, kuna majina alikuwa anawapa watu hadi unabaki unasema heee.sawyer na hugo walikuwa wanaichangamsha show [emoji23][emoji23][emoji23]
This was a Masterpiece, ahead of it's timesijui nilimsahau vipi KUNTA dadeq!!!. Bonge la historical series. Huwa nahisi 12 years a slave waliiga hii kiaina!.
Ni kama TSHAKA ZULU series!.This was a Masterpiece, ahead of it's time
The Simpsons sio ya watoto. Ni ya kikubwa na ni nzuri kweli labda unaiona hivyo kwa sababu ni animated sitcom. Hata American Dad sio ya kitoto ni adult animated sitcom.Hii na AMERICAN DAD naona si za watoto!!