D DAVIES JF-Expert Member Joined Nov 21, 2011 Posts 516 Reaction score 90 Dec 30, 2011 #1 Jamani wizara ya afya bado hawajatoa majina ya kupangwa vituo vya kazi au wamewatosa walioomba mwenye taarifa zozote mdogo wangu hoi anashindwa kuamua afanye lipi sasa
Jamani wizara ya afya bado hawajatoa majina ya kupangwa vituo vya kazi au wamewatosa walioomba mwenye taarifa zozote mdogo wangu hoi anashindwa kuamua afanye lipi sasa
Idimulwa JF-Expert Member Joined May 27, 2011 Posts 4,944 Reaction score 2,459 Dec 30, 2011 #2 Sirikaaaaaaaali, haina helaaaaaaaa imefirisikaaaaaaaaaaaaaaa
Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,368 Dec 30, 2011 #3 Mwaka ujao ndo serikali itakuwa kwenye hali mbaya zaidi so acheki private sectors
M Mchakatoh JF-Expert Member Joined Dec 21, 2011 Posts 310 Reaction score 44 Dec 30, 2011 #4 Walimu wamekula benchi sembuse afya...ushauri wa bure we nenda uuze vimadawa baridi phamacy!
P Peter m m New Member Joined Dec 31, 2011 Posts 2 Reaction score 0 Dec 31, 2011 #5 kuna umuhimu wa kuanzisha mjadala wa ajira tanzania maana hali ni mbaya sector zote!