Serikaaaaaali vipi

Serikaaaaaali vipi

DAVIES

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2011
Posts
516
Reaction score
90
Jamani wizara ya afya bado hawajatoa majina ya kupangwa vituo vya kazi au wamewatosa walioomba mwenye taarifa zozote mdogo wangu hoi anashindwa kuamua afanye lipi sasa
 
Sirikaaaaaaaali, haina helaaaaaaaa imefirisikaaaaaaaaaaaaaaa
 
Mwaka ujao ndo serikali itakuwa kwenye hali mbaya zaidi so acheki private sectors
 
Walimu wamekula benchi sembuse afya...ushauri wa bure we nenda uuze vimadawa baridi phamacy!
 
kuna umuhimu wa kuanzisha mjadala wa ajira tanzania maana hali ni mbaya sector zote!
 
Back
Top Bottom