Serikal inazingatia gharama au ubora wa dawa inazonunua nje?

Serikal inazingatia gharama au ubora wa dawa inazonunua nje?

deebo

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2013
Posts
353
Reaction score
229
Hamjambo wana JF? Katika harakat za kujifunza mawil matatu nimekuta kua ugonjwa mmoja unaweza kutibiwa na makundi tofauti ya dawa depending on some clinical situations.. Na haya makund hutofautiana ubora na ufanyaji kazi wake na hata bei pia..

Sasa serikali inapo agiza dawa hua inaangalia ubora wa dawa au bei yake tu? Mfano utakuta dawa za mafua zipo nyingi ila ambazo zipo available sana ni zile zenye quality ndogo. Zenye quality kubwa zinakua adim na bei yake inakua juu. Naombeni msaada kujua criteria zinazozingatiwa kununua dawa na serikali
 
Back
Top Bottom