Serikali 3 ndoo mpango mzima

Serikali 3 ndoo mpango mzima

gondolwa

Senior Member
Joined
Dec 3, 2012
Posts
164
Reaction score
17
Katka ukwel uliopa na mazingira ya sasa tanzania bara(tanganyika ) na Zanzibar tunahitaj serikal 3, kinyume cha hapo kwa wa Zanzibar watavunja muungano!
 
Katka ukwel uliopa na mazingira ya sasa tanzania bara(tanganyika ) na Zanzibar tunahitaj serikal 3, kinyume cha hapo kwa wa Zanzibar watavunja muungano!

uhu ni ukweli mtupu, na ndio maana mzee warioba walilo liona, lakini vipofu wa chama cha mapinduzi hawalioni, watakuja mkumbuka mzee warioba wakati mambo yatakapo haribika, ihi nchi ccm wanatamba wameijenga nchi ihi na wao wao wataibomoa,
 
Katka ukwel uliopa na mazingira ya sasa tanzania bara(tanganyika ) na Zanzibar tunahitaj serikal 3, kinyume cha hapo kwa wa Zanzibar watavunja muungano!

Hakika Serikali 3 hazipingiki kama tunataka kulinda na kuuenzi muungano wetu
 
Serikali tatu ni 'uchuro'...ili tuishi bila kuzozana....kuna njia mbili kuhusu hili:-

...moja..kuwa na serikali moja tu ambayo itaifuta serikari ya Zanziba na itafutilia mbali matumaini ya kurejesha serikali Tanganyika. Tuwe na rais mmoja, bunge moja , jeshi la polisi moja, jeshi la magereza moja, mahakama kuu moja, jaji mkuu, mmoja, waziri mkuu mmoja, spika mmoja nakadhalika na kadhalika.

...mbili...kuwa na serikali mbili ambazo ni serikali huru ya Zanzibar na yenye mamlaka kamili huku ikiwa na kiti cha uwakirishi Umoja wa Mataifa na nyingine Serikali huru ya Tanzania Bara yenye mamlaka kamili huku ikiwa na kiti cha uwakirishi Umoja wa Mataifa

Kinachotakiwa ni kuwaunga mkono wazanzibari wengi ambao hawataki kujiondoa kwenye muungano ila wanalazimishwa na viongozi wachache wasiyouta muungano maslahi wanayoyajua wao. Wazanzibari hawa walio wengi wakiuungwa mkono tutapata Tanzania yenye serikali moja na rais mmoja.
 
Back
Top Bottom