Huu sasa ndio utoto tusiotaka kuusikia kwa Tanzania ya sasa.
Mi nahisi haya maigizo serikali haiwaigizii wananchi bali wale akina Tedros Ghebreyesus wa WHO na mwenzake wa kile kinachoitwa Afrika CDC John Nkengasong.
Maana kama kweli wapo serious na hawaigizi, unawezaje kujitapa kwamba umechanja watu 345,000 katika nchi ya watu milion 60?
Marekani wamechanja asilimia karibia 100 ya wote waliostahili kuchanjwa kama kipaumbele, takribani asilimia 60 ya raia wote wa Marekani. Nimecheki namba za vifo vya corona Marekani ni kama vile wote hawajachanja.
Guess what? Kirusi cha Corona hakijali umechanja wala hujachanja, au kwamba wewe mjanja wa New York au mshamba wa Nagarenaro.
Magufuli was right all along....Hii ngoma ya Corona ni Mungu tu aingilie kati yaani.
Tusidanganyane na mambo ya chanjo hapa.