Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂 Ni jambo la kushangaza kwa kweli.Yaani CCM na Chadema na wafanyakazi wa serikali wamegoma kuwaunga viongozi wao.Yaani hata CCM hawamwamini rais wao.
Kwa ufupi ni kwamba Samia keshakataliwa ndani ya CCM. Wanasubiri muda wa kikatiba wamfurushe😂😂😂 Ni jambo la kushangaza kwa kweli.
Ccm wanasema wana wanachama 12m, nilitegemea sasa watu zaidi ya 6m wa ccm pekee wameshachanjwa kumuunga mkono rais wao. Ajabu hata wao hawamuamini rais wao.
Wanataka kusababisha fursa za viongozi kulipana posho za usimamiaji wa wiki ya chanjo[emoji134][emoji134]Mmh huku vijijin ndo watarudi na chanjo zao yaani n hawataki chanjo ,hata hzo mask na kunawa nawa hamna kabisa huku. Yaan maisha yanaendelea tu sku zote n sawa huku
Hahahaaaa....... Nimekuelewa bwashee!Wanataka kusababisha fursa za viongozi kulipana posho za usimamiaji wa wiki ya chanjo[emoji134][emoji134]
Umesema wanazihitajj SanaVijijini wanazihitaji sana sema vituo vya kuchanja viko mbali.
Janssen inatakiwa kutunzwa kwenye joto la 2c-6c.Vijijini wanazihitaji sana sema vituo vya kuchanja viko mbali.
Sijaelewa.Ilishafika responce ikawa minute
Kuna mwananchi mmoja hapa kijijini alikuja kuomba kwangu nimuazime barakoa yangu ili aingie hospitali ya jirani hapa maana hospitali hawaruhusu kuingia bila barakoaKijijini ndo wannenda kuangukia pua, ogopa sana sehemu kuona barakoa ni mpaka ije basi iliyotoka mjini kuna abiria mmoja au hakuna kabisa aliyevaa barako huku wanamshangaa
Kuna mwananchi mmoja hapa kijijini alikuja kuomba kwangu nimuazime barakoa yangu ili aingie hospitali ya jirani hapa maana hospitali hawaruhusu kuingia bila barakoa