SoC02 Serikali achana na tozo jaribuni na hii

SoC02 Serikali achana na tozo jaribuni na hii

Stories of Change - 2022 Competition

Mr kadilo

New Member
Joined
Aug 27, 2022
Posts
4
Reaction score
2
Serikali inaweza kufanya yafuatayo ili isiumize wananchi

Ikusanye kodi kweny vilevi na sigara.

Serikali itumie rasilimali zake kujiendesha mf.
Madini, gesi, utalii, bandari n.k.

Haiwezekani madin yetu wachimbe wazungu afu sisi tupewe gawio hii inaikosesha serikali pesa ambazo zingefuta umaskini kabisa.

Tuna gesi ambayo inaweza kutumika kwa miaka 27 tukiuzia nchi zote africa bila kuisha kwa nn anapew mwekezaji wa nje kwa nn tusichimbe wenyew kama Urusi anavyouzia mataifa ya Ulaya?

Tuna Tanzanite ambayo haipatikan duniani zaid ya Tz tu lakin muuzaj mkuu ni Kenya, India na Marekani kwa nini afu wazir wa Madini yupo ofisini anapumua kwa nini?,

Tuna bandari ambayo peke yake ingefuta umaskin wa nchi inahudunia nchi zaidi ya 8 lakin ni uhuni tu pale bandarini.

Tuna utalii kila mahali lakin ni janja janja tu serikalini hata sielew tumrogwa na nani,
 
Upvote 2
Mkuu serikali iliyopo haipo kwa ajili ya kumukwamua mtanzania masikini.....Tatizo kubwa siyo kodi tatizo kubwalipo kwenye matumizi ya kodi..
Ni kweli kwamba hakuna nchi duniania ambayo kodi siyo kipaumbele...
Hauwezi kunyonya wana nchi wa hali ya chini ili hali vigogo wanaendelea kunenepeshana na kujigawia posho nyingi ....
Kwangu nionavyo nilazima tuangalie ivi kwanza.
1.Matumizi holela ya fedha za serikali zifutwe kabisa, kwa maana ya ziara za hovyo za mawaziri na Rais kisiasa ...

2. Posho za wabunge na mishahara minono ipunguzwe ubunge siyo kazi ni udalali iliyo changamka.
3.Serikali ipunguze idadi ya mawaziri wanao kula pesa nyingi ili hali kazi zao zinaingiliana, baraza la mawari liwe ni ndongo, Then makatibu wakuu wafanye kazi, siyo una kuta wizara moja kuna mawazi wawili na makatibu watatu, je hawa watu kiutendaje wanafanyaje kazi??? Mfano ikiwezekana wizara ambayo siyo nyeti ....
Ibaki waziri na makatibu wawili hakuna haja ya manaibu ...,

4.pawepo na usimamizi imara ya ku_control pesa za UMMA, siyo TRA, Hii inayo tudanganya kila kukicha ili hali ni wezi watupu...
 
Tozo ni ukosefu wa ubunifu na ni makusudi ya kuwafanya wananchi wazidi kuwa masikini Ili iwe rahisi kuwatawala
 
Back
Top Bottom