Kuna mikataba ya kimataifa ya kuzuia human trafficking, Tanzania imeiriehia, kwa hiyo nchi inachokifanya ni kutimiza Yale yaliyomo kwenye makubaliano hayo
Kweli kabisa mkuuHao jamaa wakikamatwa warudishwe kwao na sio kuwafunga au kuwadhalilisha maana hawaibi wala kuchukua cha mtu
Njaa ndugu yangu, njaa haimpendezi mtu, hao wote wanakimbia njaa.Ethiopia miundombinu kama Ulaya, lakini kwanini wanakimbia kwao?
Bado huyajui maisha wewe!Hustle kihalali mkuu. Kumbuka Hata Majambazi huwa yana hustle lkn yakikamatwa tu jela inawahusu.
Tunaweza kufumba macho, kwani mangapi tumesaini na hatuyafwati? Binafsi naumia sana kuona Mwafrika mwenzangu ambaye anahustle akinyanyasika namna hii, tuwaachie waende au tuwarudishe walikotoka, lkn siyo kuwafunga na kuwapiga mafaini makubwa.
Tz kuwaruhusu wapite waende AK Ni sawa na kubariki na Hilo Ni kosa kisheria... Pia na faini wanazopigwa zipo kisheria...
Labda kwakuwa nnchini kwao wanavita ya ndani ya nchi ingekuwa busara waombe kuwa wakimbizi wanao kimbia vita... Tz wakiwaruhusu kuwa wakimbizi hapo ndio kitakuwa kituo Cha muda ya safari zao kihalali...
Maisha ni magumu sana,na wapo uchumi wa kati kitambo sana,Ethiopia miundombinu kama Ulaya, lakini kwanini wanakimbia kwao?
Wewe ni mtoto wa mama kila kilala,hujui hata ugumu wa maisha ulivyo,waulize waxazi wako wanavyopata shida kukuhudumia,hao waethiopia ni wapitajiji tu,wanaenda kutatuta nafuu ya maisha kule mbele,na si wakimbizi.Tz kuwaruhusu wapite waende AK Ni sawa na kubariki na Hilo Ni kosa kisheria... Pia na faini wanazopigwa zipo kisheria...
Labda kwakuwa nnchini kwao wanavita ya ndani ya nchi ingekuwa busara waombe kuwa wakimbizi wanao kimbia vita... Tz wakiwaruhusu kuwa wakimbizi hapo ndio kitakuwa kituo Cha muda ya safari zao kihalali...
Wewe ni mtoto wa mama kila kilala,hujui hata ugumu wa maisha ulivyo,waulize waxazi wako wanavyopata shida kukuhudumia,hao waethiopia ni wapitajiji tu,wanaenda kutatuta nafuu ya maisha kule mbele,na si wakimbizi.