Serikali acheni kuwafunga Waethiopia/Wasomali, wana-hustle tu kama sisi

Kuna mikataba ya kimataifa ya kuzuia human trafficking, Tanzania imeiriehia, kwa hiyo nchi inachokifanya ni kutimiza Yale yaliyomo kwenye makubaliano hayo.
Tanzania inatimiza kila mikataba ya kimataifa waliyosaini?
 
We mesengere
Kwahiyo ww mtoto wa umbwA?
Usinitathimini kwa kunikejeri
Ungekuwa unayajua maisha na unajitegemea wale waethiopia usingewatolea hitimisho la kikatili,uliza wenziyo wanaojitegemea watakuambia maana na maisha.
 
Kumati kweli ww.
Nalisha familia na wapo wanao nitegemea.
We Ni muhethiopia au ? Njoo na ww nikupe hifadhi na ikiwezekana nikutafutie bwana...
Naona bado unanifuatilia.
 
Hao jamaa wakikamatwa warudishwe kwao na sio kuwafunga au kuwadhalilisha maana hawaibi wala kuchukua cha mtu.
Wakikamatwa huwa wanahifadhiwa hadi nchi yao itoe utaratibu wa kuwarejesha kwao. Mwaka jana walirudishwa wengi tu
 
Ni sawa wamevunja Sheria zetu kuingia kwenye nchini bila ya kibali lakini tusiwafunge na kuwatoza mafaini makubwa aidha tuwaache wapite au tuwarudishe.

95% ya Wasomali/Waethiopia wanaoingia nchini bila ya kibali wanapita tu wanakwenda AK kutafuta maisha, wana-hustle tu kama Wabongo wengi waliotapakaa Duniani kote, wanahustle. Hivyo tuwaachieni, hawachukui kazi wala kuhatarisha maisha ya Mtanzania yoyote. Hawa ni ndugu zetu.

Waasia wamejaa viwandani na mahoteli makubwa wanafanya kazi bila ya vibali hao ndiyo wa kukamata na kudhalilisha.

Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Afrika.

View attachment 1630585
View attachment 1630587
Harafu nyie mnauzi sana unajua mzara ya kuruhusu watu kuingia bila utaratibu, wewe ulishawahi kwenda inje ya tz bila utaratibu wakakuangalia tu acheni kupinga pinga hata vitu vya msingi, mm nitolee tu mfano niliwahi kwenda kongo tu hapo bila utaratibu nilisumbuliwa sana mpaka nikajuta na niliachilwa kwa dola 300, kama hujui sio lazima kuleta uzi humu.
 
Ni kweli tuache kuwadhalilisha, halafu mbona hamna wanawake hapo? Wangekuwa wanakatwa wanawake tungekuwa tunawapa na mtaji kabisa waisho nchini, genetic diversification ni muhimu
 
Harafu nyie mnauzi sana unajua mzara ya kuruhusu watu kuingia bila utaratibu, wewe ulishawahi kwenda inje ya tz bila utaratibu wakakuangalia tu acheni kupinga pinga hata vitu vya msingi, mm nitolee tu mfano niliwahi kwenda kongo tu hapo bila utaratibu nilisumbuliwa sana mpaka nikajuta na niliachilwa kwa dola 300, kama hujui sio lazima kuleta uzi humu.

Acheni hayo mambo, acheni Waafrika wenzetu, hao wanakwenda Ulaya kupita AK kutafuta maisha, hawabakii Tanzania wala hawana hiyo nia, wanapita sababu ya Jiografia tu au unafikiri wamefikaje hapa kwetu ? wamepita kwingine pia na wakitoka hapa wanapita nchi nyingine pia na kufika AK ktk AK wanakwenda Ulaya/USA/Asia kutafuta maisha tatizo liko wapi ? Hawana madhara yoyote yale kwa nchi yetu wanajipitia zao tu, sasa ya nini kuwadhalilisha ? Hawachukui kazi ya Mtanzani, hawakabi wala kuibia Mtanzania sasa kwa nini kuwakamata ? Mbona Kenya hawawakamati na wanawaachia wanapita, au unafikiri wamefikaje hapa kwetu ?
 
Mkuu jaribu kuzamia Kenya bila kibali alaf wakukamate uone kitu utakachofanywa
 
Acheni hayo mambo, acheni Waafrika wenzetu, hao wanakwenda Ulaya kupita AK kutafuta maisha, hawabakii Tanzania wala hawana hiyo nia, wanapita sababu ya Jiografia tu au unafikiri wamefikaje hapa kwetu ? wamepita kwingine pia na wakitoka hapa wanapita nchi nyingine pia na kufika AK ktk AK wanakwenda Ulaya/USA/Asia kutafuta maisha tatizo liko wapi ? Hawana madhara yoyote yale kwa nchi yetu wanajipitia zao tu, sasa ya nini kuwadhalilisha ? Hawachukui kazi ya Mtanzani, hawakabi wala kuibia Mtanzania sasa kwa nini kuwakamata ? Mbona Kenya hawawakamati na wanawaachia wanapita, au unafikiri wamefikaje hapa kwetu ?

Tz Haina utaratibu wa Visa free kwa muda Fulani kwa baadhi ya nchi... Hilo lingekuwepo na Ethiopia ingekuwa ktk utaratibu huo.... Labda ingesaidia kwa wao kupita tu nnchini bila tabu...

Shida mifumo yetu ya uhamiaji bado Ni duni... Leo ukiwauliza Ni wageni wangapi wapo nchini watatoa takwimu za kubumba...
 
Nyumbani kwao Ethiopia kuna maendeleo ya vitu na sio maendeleo ya watu. That's Y wanapakimbia kwao. Hili ni funzo kwa baadhi ya nchi zingine.
 
Itabidi wabadilishe root🤭 waibukie Rwanda then Zimbabwe then AK
 
Kweli wawaache au wawarudishe makwao tu basi kuwashitaki na kukweka jela alafu mnawalisha na kuwahudumia ni garama zisizo na msingi nao wanaenda kupambana mbona mna wadumbua hivyo jamani
 
Acheni hayo mambo, acheni Waafrika wenzetu, hao wanakwenda Ulaya kupita AK kutafuta maisha, hawabakii Tanzania wala hawana hiyo nia, wanapita sababu ya Jiografia tu au unafikiri wamefikaje hapa kwetu ? wamepita kwingine pia na wakitoka hapa wanapita nchi nyingine pia na kufika AK ktk AK wanakwenda Ulaya/USA/Asia kutafuta maisha tatizo liko wapi ? Hawana madhara yoyote yale kwa nchi yetu wanajipitia zao tu, sasa ya nini kuwadhalilisha ? Hawachukui kazi ya Mtanzani, hawakabi wala kuibia Mtanzania sasa kwa nini kuwakamata ? Mbona Kenya hawawakamati na wanawaachia wanapita, au unafikiri wamefikaje hapa kwetu ?
tukiwaachia wapite na sisi kuna nchi itawaachia watu wa taifa flani waingie hapa kwetu kwa wingi hapo ndio utapoona iyo chaos
 
Five again exist in their country they are coming in donor kantry
 
tukiwaachia wapite na sisi kuna nchi itawaachia watu wa taifa flani waingie hapa kwetu kwa wingi hapo ndio utapoona iyo chaos

Utaratibu huwa wanarudishwa kwao, au utaratibu umebadilika maana hata Watz miaka ya 90 wamefanya sana safari za namna hii achilia mbali za kudandia meli na kutoswa baharini! Wengi walikuwa wanarudishwa kwa ndege na walikuwa wanapigwa faini 10,000
 
Back
Top Bottom