Tanzania inatimiza kila mikataba ya kimataifa waliyosaini?Kuna mikataba ya kimataifa ya kuzuia human trafficking, Tanzania imeiriehia, kwa hiyo nchi inachokifanya ni kutimiza Yale yaliyomo kwenye makubaliano hayo.
Ungekuwa unayajua maisha na unajitegemea wale waethiopia usingewatolea hitimisho la kikatili,uliza wenziyo wanaojitegemea watakuambia maana na maisha.We mesengere
Kwahiyo ww mtoto wa umbwA?
Usinitathimini kwa kunikejeri
Ungekuwa unayajua maisha na unajitegemea wale waethiopia usingewatolea hitimisho la kikatili,uliza wenziyo wanaojitegemea watakuambia maana na maisha.
Wakikamatwa huwa wanahifadhiwa hadi nchi yao itoe utaratibu wa kuwarejesha kwao. Mwaka jana walirudishwa wengi tuHao jamaa wakikamatwa warudishwe kwao na sio kuwafunga au kuwadhalilisha maana hawaibi wala kuchukua cha mtu.
Harafu nyie mnauzi sana unajua mzara ya kuruhusu watu kuingia bila utaratibu, wewe ulishawahi kwenda inje ya tz bila utaratibu wakakuangalia tu acheni kupinga pinga hata vitu vya msingi, mm nitolee tu mfano niliwahi kwenda kongo tu hapo bila utaratibu nilisumbuliwa sana mpaka nikajuta na niliachilwa kwa dola 300, kama hujui sio lazima kuleta uzi humu.Ni sawa wamevunja Sheria zetu kuingia kwenye nchini bila ya kibali lakini tusiwafunge na kuwatoza mafaini makubwa aidha tuwaache wapite au tuwarudishe.
95% ya Wasomali/Waethiopia wanaoingia nchini bila ya kibali wanapita tu wanakwenda AK kutafuta maisha, wana-hustle tu kama Wabongo wengi waliotapakaa Duniani kote, wanahustle. Hivyo tuwaachieni, hawachukui kazi wala kuhatarisha maisha ya Mtanzania yoyote. Hawa ni ndugu zetu.
Waasia wamejaa viwandani na mahoteli makubwa wanafanya kazi bila ya vibali hao ndiyo wa kukamata na kudhalilisha.
Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Afrika.
View attachment 1630585
View attachment 1630587
Nayajua......na kazi halali nazifahamu ndizo tunazofanya wengine....Sasa hao wanajifanya hawazioni kazi halali wanatafuta njia za mkato....!Bado huyajui maisha wewe!
Harafu nyie mnauzi sana unajua mzara ya kuruhusu watu kuingia bila utaratibu, wewe ulishawahi kwenda inje ya tz bila utaratibu wakakuangalia tu acheni kupinga pinga hata vitu vya msingi, mm nitolee tu mfano niliwahi kwenda kongo tu hapo bila utaratibu nilisumbuliwa sana mpaka nikajuta na niliachilwa kwa dola 300, kama hujui sio lazima kuleta uzi humu.
Hao jamaa wakikamatwa warudishwe kwao na sio kuwafunga au kuwadhalilisha maana hawaibi wala kuchukua cha mtu.
Acheni hayo mambo, acheni Waafrika wenzetu, hao wanakwenda Ulaya kupita AK kutafuta maisha, hawabakii Tanzania wala hawana hiyo nia, wanapita sababu ya Jiografia tu au unafikiri wamefikaje hapa kwetu ? wamepita kwingine pia na wakitoka hapa wanapita nchi nyingine pia na kufika AK ktk AK wanakwenda Ulaya/USA/Asia kutafuta maisha tatizo liko wapi ? Hawana madhara yoyote yale kwa nchi yetu wanajipitia zao tu, sasa ya nini kuwadhalilisha ? Hawachukui kazi ya Mtanzani, hawakabi wala kuibia Mtanzania sasa kwa nini kuwakamata ? Mbona Kenya hawawakamati na wanawaachia wanapita, au unafikiri wamefikaje hapa kwetu ?
Mi naona wakiwakamata wawapeleke mpaka wanao hitaji kwenda waendelee na safari zao.
tukiwaachia wapite na sisi kuna nchi itawaachia watu wa taifa flani waingie hapa kwetu kwa wingi hapo ndio utapoona iyo chaosAcheni hayo mambo, acheni Waafrika wenzetu, hao wanakwenda Ulaya kupita AK kutafuta maisha, hawabakii Tanzania wala hawana hiyo nia, wanapita sababu ya Jiografia tu au unafikiri wamefikaje hapa kwetu ? wamepita kwingine pia na wakitoka hapa wanapita nchi nyingine pia na kufika AK ktk AK wanakwenda Ulaya/USA/Asia kutafuta maisha tatizo liko wapi ? Hawana madhara yoyote yale kwa nchi yetu wanajipitia zao tu, sasa ya nini kuwadhalilisha ? Hawachukui kazi ya Mtanzani, hawakabi wala kuibia Mtanzania sasa kwa nini kuwakamata ? Mbona Kenya hawawakamati na wanawaachia wanapita, au unafikiri wamefikaje hapa kwetu ?
tukiwaachia wapite na sisi kuna nchi itawaachia watu wa taifa flani waingie hapa kwetu kwa wingi hapo ndio utapoona iyo chaos