The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Kwa sasa huwezi kuwasikia walamba asali wakisema chochote kwa sababu wako kwenye mizinga ya nyuki wakilamba asali.
Serikali hii ya kikatiba ambayo haikuchaguliwa na wananchi haina uchungu na matatizo ya wananchi.
Maisha magumu kila kitu kimepanda bei, tozo kila kukicha, tozo kila kona. Maisha yanazidi kua magumu kila kukicha. Walamba asali wanakwambia mama yuko kazini, mama anaupiga mwingi.
Watu wa kipato cha chini hatuna mtetezi, baada ya kuweka tozo kila sehemu sasa wanataka kuanza kutoza kodi/tozo ya wanaopangisha nyumba, hii tozo bado utatuelemea sisi wapangaji.
Huyu mama amalizie muda wake wa kikatiba arudi kwao Zanzibar atuachie nchi. Imemshinda.
Hili nalo naomba mkalitizame.