Serikali ambayo haikuchaguliwa na Wananchi haiwezi kujali Wananchi

The Evil Genius

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
6,017
Reaction score
19,506
Kwa sasa huwezi kuwasikia walamba asali wakisema chochote kwa sababu wako kwenye mizinga ya nyuki wakilamba asali.

Serikali hii ya kikatiba ambayo haikuchaguliwa na wananchi haina uchungu na matatizo ya wananchi.

Maisha magumu kila kitu kimepanda bei, tozo kila kukicha, tozo kila kona. Maisha yanazidi kua magumu kila kukicha. Walamba asali wanakwambia mama yuko kazini, mama anaupiga mwingi.

Watu wa kipato cha chini hatuna mtetezi, baada ya kuweka tozo kila sehemu sasa wanataka kuanza kutoza kodi/tozo ya wanaopangisha nyumba, hii tozo bado utatuelemea sisi wapangaji.

Huyu mama amalizie muda wake wa kikatiba arudi kwao Zanzibar atuachie nchi. Imemshinda.

Hili nalo naomba mkalitizame.
 
Katiba ni ya wananchi.
 
Nashangaa watu wanaolalamika.
 
Kazi tunayo ndugu yangu tutakiona cha mtema kuni.
 
Sera mbovu za Ujamaa zimeharibu uchumi na kuongeza ugumu wa maisha.
 
Yaani serikali ya wananchi inanukia naiona taratiiibu.MUNGU yupo Kuna siku watanzania watavaa ukichaa wa kimapinduzi na kiukombozi hakika hapatakujakutosha hapa Tanzania,Walafi na wezi hawataamini na hawataona pa kwenda zaidi ya kutamani aridhi ipasuke waingie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…