Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,618
- 4,605
Lori lingine nimefyeka watu 10 Tanga. Recently nilishauri serikali kuanzisha agency ya ukaguzi wa magari. Moja ya sekta ambazo kama nchi tumekwama. Machine zinazotembea barabarani ni kama majeneza. Yameoza hayafanyiwi service.
Nashauri tena serikali anzisheni agancy serious ya kukagua magari ila wasipewe polisi hiyo iwe agency inayojitegemea hata garage private zikiwa na qualification ziruhusiwe kufanya hiyo kazi la tutaisha.
Kama nchi tumekwama sehemu.
Baada ya tamko la Raisi niliona watu wakipishana sasa hata mwezi bado hawaonekani wale waliokuwa wakijiviringisha chini ya mabasi.
Hatuna consistence kama nchi . Na ijulikane magari mabovu si mabasi tu ni gari zote .