johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Asili yao kuishi kwenye makazi ya wanyama pori?Tigray ilianza hiv hivii,acheni kuwaonea makabila mengine hiyo ni asili yao
Unaelewa maana ya JMT!Ila ile ya kule Unguja ni ya wale wenzetu sio mali ya umma?
Jadili kiasi Cha fidia kwa wahanga
Jadili ardhi/eneo mnalopelekwa ukubwa wake na upatikanaji wa malisho
Jadili upatikanaji wa huduma muhimu Kama shule , hospital, barabara, maji, usalama nk
Jadili muda ambao mnahisi mtakuwa tayari mmeondoka hapo mbugani.
Inaanzaga hivi hivi mdogo mdogo halafu inashika mizizi then it'll be permanent major pain in our assses and many generations to come.Tigray ilianza hiv hivii,acheni kuwaonea makabila mengine hiyo ni asili yao
Wewe umeelewa nilichoandika?Unaelewa maana ya JMT!
Ndiyo akili ya vijana wa chama chetu pendwaAsili yao kuishi kwenye makazi ya wanyama pori?
Inaanzaga hivi hivi mdogo mdogo halafu inashika mizizi then it'll be permanent major pain in our assses and many generations to come.
Kule ngendere asiye na kitambulisho cha Mzanzibari mkaazi hatakiwi hata kuwa na bustani ya mbogambogaIla ile ya kule Unguja ni ya wale wenzetu sio mali ya umma?
Tafadhali wacha kudanganya watu unapata dhambi za bure.Kule ngendere asiye na kitambulisho cha Mzanzibari mkaazi hatakiwi hata kuwa na bustani ya mbogamboga
Wanyamapori wapo serengeti. NCA haijawahi kuwa ya wanyama.Asili yao kuishi kwenye makazi ya wanyama pori?
Hao Maasai ndiyo a minority group kuanzia lini? Mbona wenzao kule Morogoro wamehamishwa ili kupisha ujenzi wa bwawa la Kidunda, au kuna baadhi wako sawa zaidi kuliko wengine (some are more equal than others - Animal Farm).Nchi za wenzetu na UN wanatambua na kulinda haki za indiginous na minority groups.....nyie ni kujitia ujuaji na ku apply ubabe eti watu hawana haki na ardhi bali rais ndo anamiliki ardhi nchi nzima, kama kuna watu wanasaka maslahi binafsi kwenye hili lazima liwatokee puani......muda utaongea.
Morogoro kuna Wamang'ati siyo Wamasai bwashee!Hao Maasai ndiyo a minority group kuanzia lini? Mbona wenzao kule Morogoro wamehamishwa ili kupisha ujenzi wa bwawa la Kidunda, au kuna baadhi wako sawa zaidi kuliko wengine (some are more equal than others - Animal Farm).