Iwensanto
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 1,228
- 1,157
Kwa wakazi wa Temeke na maeneo yanayozunguka kumekuwa na shida ya usafiri kwa takribani mwezi sasa.
Ndugu wana jamvi kwa wale wanaoishi wilaya ya Temeke kumekuwa na shida kubwa ya foleni ya magari.
Kwa sasa kukaa barabarani kwa muda wa masaa 3 mpaka 4 ni kitu cha kawaida kabisa.
Tunaomba viongozi wa serikali walichukulie umhimu mkubwa jambo hili wakati wa mchana daladala zote za Temeke zinapita Tazara na kuenda kuingilia barabara ya mchicha.
Na kwa mara ya kwanza jana nimeshuhudia Barabara Barabara hiyo ikiwa na foleni kuanzia daraja la Mfugale.