Serikali awamu ya 5 nouma!

Serikali awamu ya 5 nouma!

Mudawote

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
10,771
Reaction score
14,129
Yaani serikali hii imebana mpaka bei za vyama vya upinzani zimeshuka kinoma!

Hivi leo bei ya chadema ni kushika UKUTA (yaani wanataka kuirudisha kwa wananchi, ilhali wananchi wanawakataa, ila wao wanatafuta kiki).

Ni utani tu jamani, najua sasa chadema haina soko, zile oili chafu zilisha nokisha injini
 
Ni utani tu jamani, najua sasa chadema haina soko, zile oili chafu zilisha nikisha injini
Na mimi nilijua ni utani tu, kama ilivyokuwa utani kuhimiza watu wafyatue watoto kutokana na elimu kuwa bure!
 
Back
Top Bottom