Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 10,771
- 14,129
Yaani serikali hii imebana mpaka bei za vyama vya upinzani zimeshuka kinoma!
Hivi leo bei ya chadema ni kushika UKUTA (yaani wanataka kuirudisha kwa wananchi, ilhali wananchi wanawakataa, ila wao wanatafuta kiki).
Ni utani tu jamani, najua sasa chadema haina soko, zile oili chafu zilisha nokisha injini