Serikali Awamu ya Sita zuieni matukio ya utekaji wa wanaoikosoa Serikali, haileti picha nzuri

The Whistleblower

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2022
Posts
247
Reaction score
434
Rais Samia tunakupenda, tunakuheshimu, wewe ndio Dereva unayeendesha gari la Tanzania, sijui kama kweli hujui hila zinazoendelea ndani ya Serikali yako.

Wakati wa Magufuli makumi ya watu wametoweka na hadi sasa hawajulikani walipo akiwemo Ben Saanane, na wote waliotoweka walikuwa wakosoaji wakubwa wa Serikali.

Uliposhika usukani tulidhani tumepona kumbe ndo kwanza mambo yameanza upya Tena.

Watu wote wanaokosoa Serikali wanaendelea kupotea kwa kutekwa, na Ushahidi unaonesha kuwa Serikali inahusika vizuri mno, mfano ni kijana Sativa aliyetekwa na kupakiwa Karakana ya Oysterbay, mwingine ni Kombo Mbwana ambaye Tarehe 15/June/2024 alifuatwa nyumbani kwake na Police wakiambatana na mwenyekiti wa mtaa. Tangu wakati huo, Police wote wamekana kumshikilia Mbwana, yaani katika utawala wako tu, wamepotea wakosoaji zaidi ya 30.

Ndio sababu wasaidizi wako wakakushauri Twitter (currently X) ifungiwe eti inatukana viongozi, hakuna kiongozi yoyote aliyetukanwa Twitter, huko kumejaa wakosoaji tu.

Na kama kuna msaidizi wako alikushauri hilo lifanyike basi hakupendi hata kidogo.

Rais Samia, Duniani tunapita tu, it's just a blink of an eye, kisha Tunakufa na kusimama mbele ya Hukumu as according to our deeds.

Damu zisizo na hatia ni laana kubwa kwa Taifa, Damu huwa inalia mbele za Mungu ikidai kisasi, hakuna Damu inayomwagika bure bila kulipwa. Mwanzo 4:9-12.

Kukosoana tu ndio kupelekee Damu za watu kumwagika?

Rais Samia, usitoe sadaka yoyote kwenye madhabahu ya Mungu kama unajijua moyo wako si safi mbele ya Mungu.

Afrika imekuwa maskini kwa sababu ya laana za matendo yetu wenyewe!
 
Rais Samia tunakupenda, tunakuheshimu, wewe ndo Dereva unayeendesha gari la Tanzania, sijui kama kweli hujui hila zinazoendelea ndani ya Serikali yako.

Watu wote wanaokosoa Serikali wanaendelea kupotea kwa kutekwa, na Ushahidi upo kuwa Serikali inahusika vizuri mno, mfano ni kijana Sativa aliyetekwa na kupakiwa Oysterbay Police, mwingine ni Kombo Mbwana ambaye Tarehe 15/June/2024 alifuatwa nyumbani kwake na Police wakiambatana na mwenyekiti wa mtaa. Tangu wakati huo, Police wote wamekana kumshikilia Mbwana. Na haijulikani alipo, yaani ktk utawala wako tu, wamepotea wakosoaji zaidi ya 30.

Ndo sababu wasaidizi wako wakakushauri Twitter ( currently X ) ifungiwe eti inatukana viongozi, hakuna kiongozi yoyote aliyetukanwa Twitter, huko kumejaa wakosoaji tu.

Damu zisizo na hatia ni laana kubwa kwa Taifa, Damu huwa inalia mbele za Mungu ikidai kisasi,hakuna Damu inayomwagika bure bila kulipwa.Mwanzo 4:9-12.

Kukosoana tu ndo kupelekee Damu za watu kumwagika?

And you are not safe here also.
Watch it mkuu..😷😷
 
Amekosoa nini akatekwa?
 
Rais Samia tunakupenda, tunakuheshimu, wewe ndio Dereva unayeendesha gari la Tanzania, sijui kama kweli hujui hila zinazoendelea ndani ya Serikali yako.

Wakati wa Magufuli makumi ya watu wametoweka na hadi sasa hawajulikani walipo akiwemo Ben Saanane, na wote waliotoweka walikuwa wakosoaji wakubwa wa Serikali.

Uliposhika usukani tulidhani tumepona kumbe ndo kwanza mambo yameanza upya Tena.

Watu wote wanaokosoa Serikali wanaendelea kupotea kwa kutekwa, na Ushahidi unaonesha kuwa Serikali inahusika vizuri mno, mfano ni kijana Sativa aliyetekwa na kupakiwa Karakana ya Oysterbay, mwingine ni Kombo Mbwana ambaye Tarehe 15/June/2024 alifuatwa nyumbani kwake na Police wakiambatana na mwenyekiti wa mtaa. Tangu wakati huo, Police wote wamekana kumshikilia Mbwana, yaani katika utawala wako tu, wamepotea wakosoaji zaidi ya 30.

Ndio sababu wasaidizi wako wakakushauri Twitter (currently X) ifungiwe eti inatukana viongozi, hakuna kiongozi yoyote aliyetukanwa Twitter, huko kumejaa wakosoaji tu.

Na kama kuna msaidizi wako alikushauri hilo lifanyike basi hakupendi hata kidogo.

Rais Samia, Duniani tunapita tu, it's just a blink of an eye, kisha Tunakufa na kusimama mbele ya Hukumu as according to our deeds.

Damu zisizo na hatia ni laana kubwa kwa Taifa, Damu huwa inalia mbele za Mungu ikidai kisasi, hakuna Damu inayomwagika bure bila kulipwa. Mwanzo 4:9-12.

Kukosoana tu ndio kupelekee Damu za watu kumwagika?

Rais Samia, usitoe sadaka yoyote kwenye madhabahu ya Mungu kama unajijua moyo wako si safi mbele ya Mungu.

Afrika imekuwa maskini kwa sababu ya laana za matendo yetu wenyewe!
Serikali izuie utekaji!! Kwani unadhani utekaji unafanywa na nani na kwa baraka za nani?

Unadhani yule aliyekuwa kiongozi mkuu wa utekaji na mauaji ya wakaosoaji wa watawala wakati wa awanu ya 5, amerudishwa Serikalini na kupelekwa Arusha kwa kazi gani?
 
Huenda ndo waratibu mungu pekee ndie ajuae
 
Serikali izuie utekaji!! Kwani unadhani utekaji unafanywa na nani na kwa baraka za nani?

Unadhani yule aliyekuwa kiongozi mkuu wa utekaji na mauaji ya wakaosoaji wa watawala wakati wa awanu ya 5, amerudishwa Serikalini na kupelekwa Arusha kwa kazi gani?
Hii kauli mbiu ya kazi iendelee ina maana hata vitendo vya utekaji viendelee.
 
Mimi maombi yangu watekwe wala rushwa ofisi za umma pamoja na wabadhirifu wa rasilimali za umma.
Watekwe mafisadi wapotee kabisa, maana Sasa hali mbaya sana kila sehemu, hao waharifu hawaogopi mamlaka ya juu yao wala nani.
 
Serikali izuie utekaji!! Kwani unadhani utekaji unafanywa na nani na kwa baraka za nani?

Unadhani yule aliyekuwa kiongozi mkuu wa utekaji na mauaji ya wakaosoaji wa watawala wakati wa awanu ya 5, amerudishwa Serikalini na kupelekwa Arusha kwa kazi gani?
Huyo ni nani aliyepewa kazi mbayaa
 
Kama rais sio mcha Mungu wa dhati ujue huyo ni mshirika wa shetani na ndivyo ilivyo. Usiwaone hawa watu wamevaa wavaavyo na kujifanya waungwana, watu hawa ni hatari mno!
Kuna Ndege ya ATCL Bombardier inazunguka sana kwenye anga ya Dar bila kutua, nimejaribu kuhesahabu kama mizunguko mitatu au minne.

Je inashida yoyote au kuna iliyoomba emergency landing?
Wajuvi wa hili tafadhali

Hapo kuna mtu anakula training ya type rating au la sivyo ilikuwa kwenye matengenezo ya kuinstall kifaa kipya kwa hiyo wana test performance. Yake.

Rais Samia tunakupenda, tunakuheshimu, wewe ndio Dereva unayeendesha gari la Tanzania, sijui kama kweli hujui hila zinazoendelea ndani ya Serikali yako.

Wakati wa Magufuli makumi ya watu wametoweka na hadi sasa hawajulikani walipo akiwemo Ben Saanane, na wote waliotoweka walikuwa wakosoaji wakubwa wa Serikali.

Uliposhika usukani tulidhani tumepona kumbe ndo kwanza mambo yameanza upya Tena.

Watu wote wanaokosoa Serikali wanaendelea kupotea kwa kutekwa, na Ushahidi unaonesha kuwa Serikali inahusika vizuri mno, mfano ni kijana Sativa aliyetekwa na kupakiwa Karakana ya Oysterbay, mwingine ni Kombo Mbwana ambaye Tarehe 15/June/2024 alifuatwa nyumbani kwake na Police wakiambatana na mwenyekiti wa mtaa. Tangu wakati huo, Police wote wamekana kumshikilia Mbwana, yaani katika utawala wako tu, wamepotea wakosoaji zaidi ya 30.

Ndio sababu wasaidizi wako wakakushauri Twitter (currently X) ifungiwe eti inatukana viongozi, hakuna kiongozi yoyote aliyetukanwa Twitter, huko kumejaa wakosoaji tu.

Na kama kuna msaidizi wako alikushauri hilo lifanyike basi hakupendi hata kidogo.

Rais Samia, Duniani tunapita tu, it's just a blink of an eye, kisha Tunakufa na kusimama mbele ya Hukumu as according to our deeds.

Damu zisizo na hatia ni laana kubwa kwa Taifa, Damu huwa inalia mbele za Mungu ikidai kisasi, hakuna Damu inayomwagika bure bila kulipwa. Mwanzo 4:9-12.

Kukosoana tu ndio kupelekee Damu za watu kumwagika?

Rais Samia, usitoe sadaka yoyote kwenye madhabahu ya Mungu kama unajijua moyo wako si safi mbele ya Mungu.

Afrika imekuwa maskini kwa sababu ya laana za matendo yetu wenyewe!

Mkuu najua una hasira ila andika kwa kuweka aya kiongozi.

Kinachoniuma mimi, swala la rushwa limeongezeka kuliko awamu zote nilizowahi kushuhudia. Watumishi wa umma wanadai rushwa hadharani na kwa nguvu kama vile ni haki Yao

Mikononi mwa huyu mama nchi inakufa huku Tunaona kabisa

Roho imeniuma sana,Tunalazimishwa kuipenda CCM kwa nguvu,ila Mungu yupo,ipo siku

Usiseme tuna Mpenda, mapenzi pelekeni huko huyu ni mtawala, anajilipa kodi zetu, aambiwe ukweli kama ulivyo bila kuweka mapenzi.

Inasikitisha sana wakuu

Amekosoa nini akatekwa?
 
Rais Samia tunakupenda, tunakuheshimu, wewe ndio Dereva unayeendesha gari la Tanzania, sijui kama kweli hujui hila zinazoendelea ndani ya Serikali yako.

Wakati wa Magufuli makumi ya watu wametoweka na hadi sasa hawajulikani walipo akiwemo Ben Saanane, na wote waliotoweka walikuwa wakosoaji wakubwa wa Serikali.

Uliposhika usukani tulidhani tumepona kumbe ndo kwanza mambo yameanza upya Tena.

Watu wote wanaokosoa Serikali wanaendelea kupotea kwa kutekwa, na Ushahidi unaonesha kuwa Serikali inahusika vizuri mno, mfano ni kijana Sativa aliyetekwa na kupakiwa Karakana ya Oysterbay, mwingine ni Kombo Mbwana ambaye Tarehe 15/June/2024 alifuatwa nyumbani kwake na Police wakiambatana na mwenyekiti wa mtaa. Tangu wakati huo, Police wote wamekana kumshikilia Mbwana, yaani katika utawala wako tu, wamepotea wakosoaji zaidi ya 30.

Ndio sababu wasaidizi wako wakakushauri Twitter (currently X) ifungiwe eti inatukana viongozi, hakuna kiongozi yoyote aliyetukanwa Twitter, huko kumejaa wakosoaji tu.

Na kama kuna msaidizi wako alikushauri hilo lifanyike basi hakupendi hata kidogo.

Rais Samia, Duniani tunapita tu, it's just a blink of an eye, kisha Tunakufa na kusimama mbele ya Hukumu as according to our deeds.

Damu zisizo na hatia ni laana kubwa kwa Taifa, Damu huwa inalia mbele za Mungu ikidai kisasi, hakuna Damu inayomwagika bure bila kulipwa. Mwanzo 4:9-12.

Kukosoana tu ndio kupelekee Damu za watu kumwagika?

Rais Samia, usitoe sadaka yoyote kwenye madhabahu ya Mungu kama unajijua moyo wako si safi mbele ya Mungu.

Afrika imekuwa maskini kwa sababu ya laana za matendo yetu wenyewe!
Huyo Sativa kakosoa nini? Nukuu tafadhali.
 
Back
Top Bottom