njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Kiruuuuuuuuu, mtaani kwetu nyumba zilizohesabiwa hazifiki 8 na nyumba moja mtu anakaa masaa 5-6. This is a joke, hakuna aliyekuwa serious na hizi data labda baadhi ya maswali ambayo yatamsaidia mzee wa Singida Big Stars kuintroduce tozo mpya.
Huu ni upigaji mkubwa, kwa mwendo wa konokono unaofanyika tutarajie upikwaji mkubwa wa data kama unaofanyikaga kwenye the so called uchaguzi mkuu, takwimu za mfumuko wa bei na kila kitu.
Huu ni uhuni na roho mbaya na ufisadi wa hali ya juu, hapo bado billion 600 ya kununua magari ma Lexus 2022 models, bado zile ndege 5 zinazokuja kwa cash, eti haka ka nchi kananunua ndege cash wakati raia wana starve vibaya sana wanaminywa hadi utumbo, shame shame shame.