Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,753
- 10,747
Sasa hii ni hatari sana, Kama walipata elimu Ili iwasaidie kufikirisha bongo zao na imekuwa kinyume chake basi tutarajie kuwa na Taifa la Vijana wa hovyo sana huko mbeleni.Utawapandisha vijana hasira! Wana hasira sana na walimu. Maana kwa akili zao wanahisi hao walimu ndiyo chanzo cha wao kuwa jobless mitaani. Na wala siyo serikali yao sikivu.