Sasa hii ni hatari sana, Kama walipata elimu Ili iwasaidie kufikirisha bongo zao na imekuwa kinyume chake basi tutarajie kuwa na Taifa la Vijana wa hovyo sana huko mbeleni.Utawapandisha vijana hasira! Wana hasira sana na walimu. Maana kwa akili zao wanahisi hao walimu ndiyo chanzo cha wao kuwa jobless mitaani. Na wala siyo serikali yao sikivu.
Daaah makaran wanapika data
Yaan ukishindwa kujibu swali anasema haina shida hiyo najua namna ya kujaza
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Huyo mwenye mzigo itakuwa anaenda Burundi.zile ndege 5 zilizonunuliwa cash zinatinga lini? nchi inapata heshima sana kununua ndege kwa cash inaonyesha uimara wa serikali naona na models za 2022 ziko kitaa sasa lazima wanuka jasho waumie ili ziwekwe mafuta full kiyoyozi
View attachment 2335491
Duh bado lawama zinaenda kwa Mwendazake tu?Siteteagi ujinga mimi ila ukiona natetea ujue kuna logic,sensa ina logic mambo ya ndege huwa sio Kati ya mambo nayoyakubali maana naona ni wastage ya resources iliyoanzisha na Mwendazake.
Mwendazake amekuwa Rais Kwa miaka mingapi na Samia miaka mingapi?Duh bado lawama zinaenda kwa Mwendazake tu?
Inahusiana vp? Nyerere kakaa miaka kibao unataka tuendelee kumlaumu hadi leo?Mwendazake amekuwa Rais Kwa miaka mingapi na Samia miaka mingapi?
Nyerere analaumiwa vizuri tuu na ujamaa wakeInahusiana vp? Nyerere kakaa miaka kibao unataka tuendelee kumlaumu hadi leo?
Kikubwa serekali ishavuta chakeKuongea ni rahisi kuliko kutenda.
Mwenye nyumba hawezi kukubali 10% yake ya kodi umkate, lazima vyuma viumane.
Otherwise wenye nyumba lazima watapandisha kodi kuliko uhalisia ili hata ukikata 10% ya pango kwake hamna maumivu, chumba cha 40,000/-Tsh atakwambia ni 50,000/- Tsh, ukimkata 10% which is 5,000/- Tsh bado atabaki na 45,000/- Tsh, yeye yupo kwenye upande salama, shida inabaki kwako mpangaji.
Ujamaa wake Nyerere hautuzuii sisi kusonga mbele na kufanya mabadiliko ya kimaendeleo, sasa wewe makosa ya Samia unataka kumtupia lawama Magufuli wakati Samia ana nafasi ya kufanya mabadiliko.Nyerere analaumiwa vizuri tuu na ujamaa wake
Kikubwa serekali ishavuta chake
Na hii ndio nzuri. Napenda raia wateseke ili maumivu yawafikie wale majinga yanayovaa kofia na fulana za kampeni za kupewa.Kuongea ni rahisi kuliko kutenda.
Mwenye nyumba hawezi kukubali 10% yake ya kodi umkate, lazima vyuma viumane.
Otherwise wenye nyumba lazima watapandisha kodi kuliko uhalisia ili hata ukikata 10% ya pango kwake hamna maumivu, chumba cha 40,000/-Tsh atakwambia ni 50,000/- Tsh, ukimkata 10% which is 5,000/- Tsh bado atabaki na 45,000/- Tsh, yeye yupo kwenye upande salama, shida inabaki kwako mpangaji.
Kuna logic au logistics [emoji23][emoji23]Siteteagi ujinga mimi ila ukiona natetea ujue kuna logic,sensa ina logic mambo ya ndege huwa sio Kati ya mambo nayoyakubali maana naona ni wastage ya resources iliyoanzisha na Mwendazake.
Mlipa kodi vs mlipwa kodi Uongozi ni ajira fanya uwe kiongozi.zile ndege 5 zilizonunuliwa cash zinatinga lini? nchi inapata heshima sana kununua ndege kwa cash inaonyesha uimara wa serikali naona na models za 2022 ziko kitaa sasa lazima wanuka jasho waumie ili ziwekwe mafuta full kiyoyozi
View attachment 2335491
Buza kuna watu hawaijui trawapanue tu magereza yaani mama mwenye nyumba wa buza mama amina umuambie asilimia zako kadhaa napeleka TRA? unatolewa muda huohuo na matarumbeta juu
Wengi wamezubaa zubaa yani watu wanafanya ilimradi siku ziishe wawe wameingiza walichoingiza basi. Hamna mtu mwenye morale katika wote niliokuwa nakutana nao tena bora wangeifanya wanaume tu. Wanawake ni mdebwedo vibaya sana.Hii sensa ilipaswa kufanywa na kada ya walimu nafikiri ingefanyika kwa ufanisi zaidi, nilivyiwaangalia hawa makarani ni kama walikuwa wanafanya bora liende
Wengi wamezubaa zubaa yani watu wanafanya ilimradi siku ziishe wawe wameingiza walichoingiza basi. Hamna mtu mwenye morale katika wote niliokuwa nakutana nao tena bora wangeifanya wanaume tu. Wanawake ni mdebwedo vibaya sanaHii sensa ilipaswa kufanywa na kada ya walimu nafikiri ingefanyika kwa ufanisi zaidi, nilivyiwaangalia hawa makarani ni kama walikuwa wanafanya bora liende