Hii mikopo ya mitandaoni imezidi kuwa kero kwetu.
Hasa unapopigiwa simu kuwa ulipe deni usilolijua.
Na kutumiwa meseji za ovyo.
Nimejaribu kutafakari,nimebaki na maswali yasiyo na majibu.
Je,hii si ile mikopo iliyopigwa marufuku kipindi cha JPM,kuwa haitambuliwi na serikali?
Kwa nini imerudi tena?
Nani yuko nyuma ya hili?
Nimepigiwa simu asubuhi hii kuwa nadaiwa,na kutumiwa meseji mbaya.
Nimeripoti kwa mamlaka,
Wale walionipigia wameomba radhi kuwa walikosea.
Nimekerwa sana kwakweli.
Hii KESI Kuna mdau alishawahi kuitipoti humu nadhani,sijui kwanini hatua hazichukuliwi.