Udart
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 398
- 586
KWEMA. Leo nilikuwa naperuzi mtandao wa Instagram kiukweli mwanzoni nilikuwa nafurahia kuona video za ndugu zetu wadazbe kiukweli UTAMADUNU wao unafurahisha pamoja jinsi wanavyoishi Kwa upendo nk
Sasa umepotea karbu mwaka nikaanza kuona mbaka wazungu wanaenda kutengeneza content kule Kwaajiri ya kupata views mitandaoni sio mbaya ila mimi.
Kilichonikela ni kitendo Cha kuanza kuwabadilisha utamaduni wao inakuwaje mtalii aende kule na chupa ya coca eti unawapa soda wakihangaika kufungua wewe ndio furaha yako.
Sasa wakiendelea namna hii baada ya miaka kumi WAHADZABE watabadilika asili Yao. Miaka mitano nyuma walikuwa hawaujui ugali kabisa wao ni nyama tu, sasa leo Mhadzabe anapika mpaka wali na nyanya vitunguu sijui karoti, yote hayo wabebadilishiwa na wahuni wanaowatembelea kule na Nina uhakika Kuna siku hata condom zitapelekwa kule
Kule ni kizazi adimu serikali ilitakiwa ilinde kama tunavyolinda twiga na tembo wale kama wanatembelewa na watalii wahakikishe hawapewi vitu vya kuharbu utamaduni wao.
Tumefeli kwa wamasai ila hawa tupambanae kuwatunza, tusipokuwa kuwa makini tunapoteza kizazi hiki mapema sana
Fikiria mpaka mitandaoni mtu Yuko India anachukia jinsi jamaa wanavyoharibiwa na wageni, Serikani iko kimya halafu anakuja mtu anakwambia bongo kuna usalama wa taifa, sasa usalama wanashindwa kung'amua ishu ndogo kama hizi
Leo hii hapa DSM Kuna mashoga mpaka wamasai kwa sababu ya mambo ya mzaha kama haya
Serikali idhibiti kama mtu anataka kuwapa zawadi basi iwe ni nyama tu pia watu walipe kodi kubwa kuwaona sio bure
Mtu anaenda kule na kuwaambia wakate mimba huku akiwarekodi akimaliza anawapa fanta ya chupa si ujinga huu😠😠