Serikali chukueni hatua mapema Wahadzabe wanaharibiwa utamaduni na mabeberu

Kuwa na ubinadamu mkuu yaani unaona binadamu wenzako kama kivutio kama wanyama hivi wewe tukisema uishi maisha ya Babu yako achilia mbali mababu zako utakubali?
 
Yaani Wewe ule mapochopocho wao wale nyama mbichi! Maendeleo hayana kabila!
 
Always looking for something to blame πŸ™„ kwa hiyo kuishi zamani wakati leo imepita ndio?
 
" Look at their mode of life and their lifestyle in general, you can observe that Black people are born with the situation like an half mad mentality and mindsets."

Jan Smuts, a First Prime Minister of Union of South Africa.
 
Kuwa na ubinadamu mkuu yaani unaona binadamu wenzako kama kivutio kama wanyama hivi wewe tukisema uishi maisha ya Babu yako achilia mbali mababu zako utakubali?
Nadhani alichosema ni kwamba waishi maisha yao ya jadi bila kuingiliwa tamaduni zao na watu wa nje. Aliye wadhalilisha zaidi ni yule aliye wapa Coca-Cola wakaangaika nayo kuifungua na wapo ionja coca ikawatekenya wakakunja nyuso zao.
 
Hapana wao ni binadamu lazima kama jamii ingiliane na jamii nyingine ili ipige hatua kumbuka hata sisi tulivyo Leo ni kwasababu ya kuchangamana na jamii nyingine duniani
 
Ndio watu pekee Tanzania ambao wanasoma bure kuanzia primary mpaka chuo.

Kila mwaka baadhi ya vijana wa kihadzabe wanachukuliwa wanapelekwa jeshini ili waje kuwaelimisha wazazi wao.

Ndio watu pekee wanaruhusiwa kuwinda mpaka kwenye hifadhi za wanyama wanawinda wanyama.

Ukiwajengea shule au zahanati wanahama hilo eneo kabisa.

Wahadzabe washabadilika asili ya wahadzabe imeshapotea mda sana na sidhani kama ni kitu kibaya maana sio utamaduni mzuri.

Zamani ilikuwa mhadzabe akifa basi wanaacha maiti iliwe na fisi na mbwa na ndio maana wahadzabe hawali hao wanyama ila sasa hivi wanakijiji wanawasaidia kuzika.

Alamsik wahadzabe wabadilike hakuna namna.
 
Hawa waliobaki huko ni fake ni watu wavivu ambao wanapenda vya bure. Uzuri baada ya miaka kadhaa watukuwa washaenda mjini
 
Nadhani alichosema ni kwamba waishi maisha yao ya jadi bila kuingiliwa tamaduni zao na watu wa nje. Aliye wadhalilisha zaidi ni yule aliye wapa Coca-Cola wakaangaika nayo kuifungua na wapo ionja coca ikawatekenya wakakunja nyuso zao.
πŸ‘πŸ‘πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…