tufahamishane
Member
- Jun 22, 2024
- 28
- 30
Muda si mrefu nitaweka vielelezo halisi vya ukiukaji mkubwa wa sheria
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cheki na Waziri wa Aridhi, maana hayo mabaraza ya Aridhi yako chini yake!!Kinachoendelea katika baraza la Aridhi lililopo mwanza wilaya ya nyamagana inatisha
Rushwa sasa ni haki na usipotoa Rushwa huwezi kupata haki. Mtu hafiki mahakamani zaidi ya mara 4 pamoja na kupelekewa wito wa mahakama zaidi ya mara 4 hafiki lakini anaendelea kuthaminiwa
Nina ushahidi mkubwa ambao uli mtaka ndugu yangu atoe rushwa ya million kadhaa ili apewe zuio la kutobomolewa jengo lake mpaka kesi ya musingi isikilizwe. Kwa kuwa hakutoa hiyo rushwa umekuwa mchezo wa paka na panya
Anaye lala mikiwa sasa anatamba kupata amri ya kuharibu Mali wakati toka zuio litolewe kesi haijasikilizwa na wala muhusika hajafika mahakamani
Tunaiomba selikari ijitokeze kufuatilia uvunjaji huu mkubwa wa sheria unaovuruga haki za msingi za wananchi
Niko tayari kufika ofisi yoyote kuonyesha ushahidi wakile ninacho kisema. Jambo hili lilisha fika takukuru. Hata Arimashauli walishafika katika eneo la tukio ambapo wa lala mikiwa walikosa hata karatasi moja inayoonyesha wana haki. Vielezo vyote tunavyo. Viwanja vimepimwa kihalali na haki zote za umiliki zipo. Hatujawahi kushitakiwa popote. Alafu mtu anapewa Kibali cha kuharibu Mali. Hili linatisha na niaibu kubwa kwa nchi inayofuta mfumo wa sheria
Kwa kuwa nchi yetu inaongozwa na sheria na katiba tunaomba selikari wajitokeze waingilie kati jambo hili linatishia Amani na usalama wanchi
Asante na shukruCheki na Waziri wa Aridhi, maana hayo mabaraza ya Aridhi yako chini yake!!
Mkuu Asante summos zipelekwa na Dalali wa mahakama ambaye wamemusajili. Na zinaambatanishwa na kiapo. Kuna mengi ya kueleza juu ya hayo Ila ngojea muda utaongeaSummons zilifikaje? Kuna kiapo cha mpeleka wito? Kama hakuna kiapo, hiyo summons inakuwa haina nguvu kisheria, lqzima upeleke upya. Kuna mchezo wa watu kutopeleka summins, akifika hapo stendi ya Tanganyika ya zamani anatafuta chinga muuza mitumba asaini kama yule aliyetarajiwa kuzipokea.
Justice hurried is justice burried, justice delayed is justice denied. Ukikosea mfumo wa kupeleka summons, unakuwa umeua kesi yako yote, ikienda mbele kwa rufaa inafutwa kwa kumnyima upandewa pili haki ya kikatiba ya kusikilizwa.
Pia hata zuio, halitolewi kama sadaka, kuna vigezo, na mahakama inaweza kutaka pande zote ziwepo. Mahakama inaweza kutoa zuio kumbe hapo ndipo mtu anaishi, au njia ya kwenda nyumbani kwake, kila akitaka kwenda nyumbani akipita hapo anakamatwa.
Hiyo ni discretion ambayo lazima iwe exercised judiciously kwa kuangalia kwenye kiapo umeandika nini. Inawezekana una bush lawyer kakuandikia kesi kwa kiingereza, unayoyasema hapa hajayaandika, au Mwenyekiti anafuata mstari, bush lawyers wameamua kumchafua
Oohh, sawa, fuatilia suala lako, ila hakikisha hauipotezi Mahakama (dont lose the court). Sisitiza kwenda kuonana na Mwenyekiti wa Baraza, usiishie kwq makarani hapo chumba cha kwanza, ukimuona atakuwa wa msaada kwako. Hata karani wa hapo Mr. Seni ni mtu muungwana kabisa, na mtumishi mwenye maadili kuliko wote kanda ya ziwa, hasa wa kada yakeMkuu Asante summos zipelekwa na Dalali wa mahakama ambaye wamemusajili. Na zinaambatanishwa na kiapo. Kuna mengi ya kueleza juu ya hayo Ila ngojea muda utaongea