DOKEZO Serikali chunguzeni kinachoendelea Baraza la Ardhi na nyumba Wilaya Nyamagana Mwanza

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Uyo CHURA yuko kwao anacheza kigodoro tu cku 3.

Unaambiwa watu wanakula na kunywa mpk kusaza.

Unazani utackilizwa kiongozi mtanganyika mwenzangu jipange tu ikibidi jichukulie sheria mkononi tu
 
Cheki na Waziri wa Aridhi, maana hayo mabaraza ya Aridhi yako chini yake!!
 
Summons zilifikaje? Kuna kiapo cha mpeleka wito? Kama hakuna kiapo, hiyo summons inakuwa haina nguvu kisheria, lqzima upeleke upya. Kuna mchezo wa watu kutopeleka summins, akifika hapo stendi ya Tanganyika ya zamani anatafuta chinga muuza mitumba asaini kama yule aliyetarajiwa kuzipokea.

Justice hurried is justice burried, justice delayed is justice denied. Ukikosea mfumo wa kupeleka summons, unakuwa umeua kesi yako yote, ikienda mbele kwa rufaa inafutwa kwa kumnyima upandewa pili haki ya kikatiba ya kusikilizwa.

Pia hata zuio, halitolewi kama sadaka, kuna vigezo, na mahakama inaweza kutaka pande zote ziwepo. Mahakama inaweza kutoa zuio kumbe hapo ndipo mtu anaishi, au njia ya kwenda nyumbani kwake, kila akitaka kwenda nyumbani akipita hapo anakamatwa.

Hiyo ni discretion ambayo lazima iwe exercised judiciously kwa kuangalia kwenye kiapo umeandika nini. Inawezekana una bush lawyer kakuandikia kesi kwa kiingereza, unayoyasema hapa hajayaandika, au Mwenyekiti anafuata mstari, bush lawyers wameamua kumchafua
 
Mkuu Asante summos zipelekwa na Dalali wa mahakama ambaye wamemusajili. Na zinaambatanishwa na kiapo. Kuna mengi ya kueleza juu ya hayo Ila ngojea muda utaongea
 
Mkuu Asante summos zipelekwa na Dalali wa mahakama ambaye wamemusajili. Na zinaambatanishwa na kiapo. Kuna mengi ya kueleza juu ya hayo Ila ngojea muda utaongea
Oohh, sawa, fuatilia suala lako, ila hakikisha hauipotezi Mahakama (dont lose the court). Sisitiza kwenda kuonana na Mwenyekiti wa Baraza, usiishie kwq makarani hapo chumba cha kwanza, ukimuona atakuwa wa msaada kwako. Hata karani wa hapo Mr. Seni ni mtu muungwana kabisa, na mtumishi mwenye maadili kuliko wote kanda ya ziwa, hasa wa kada yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…