Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Msigwa ameumia saana CNN kusema waliwahoji madaktari wa hospital ya Seketule(I am not sure with spelling) Kwa Siri na kutoboa Siri ya madaktari kuambiwa wawaweke mochwari majeruhi ata kama hawajafa.
Yaani serikali ilkuwa inaona Sawa kuja na mashaidi wa Siri kwenye kesi ya Lissu, lakini inaumia CNN kutumia madaktari wa Siri.
Msigwa tulia dawa ikuingie, this is just the beginning.
Ione
Nassoro Katuga
Mto wa mbu
Manhattan-USA