Vodacom Tanzania ni majizi.
Serikali inatakiwa isimamie usalama wa watumiaji wa huduma za kampuni hii jizi.
Vodacom wanakata fedha za watu bila sababu. Mtu anaongeza salio, kabla hajafanya transaction yoyote na wala si kwamba alikuwa na mkopo wa nipige tough. Akitaka kufanya lolote kulingana na fedha alizoweka, anaambiwa salio halitoshi. Salio linakwenda wapi?
Wakipigiwa simu customer service, watakuambia siyo kosa la vodacom ni kosa la system au mitambo!.
Ukiendelea kuwaelezea kwamba system hiyo ni ya kwao na mteja hahusiki na hivyo asilazimishwe kukubali madhara ya mitambo ambayo wala haimhusu, utasikia wanasema, suala ilo linapelekwa linakohusika, na litajibiwa ndani ya masaa 24. Hakuna jibu linatolewagwa ndiyo kwa heri.
Mtje wa vodacom anafanya muamala wa fedha katika simu, mara nyingi kama mtu katuma fedha, zinarudishwa kimya kimya kwa mtumaji bila maelezo wala notification, kitu ambacho mtu hawezi kujua na inasababisha irreparable losses kwa sababu ya kuharibu michakato ambayo ilikuwa ifanyike kwa fedha zile.
Ukiuliza baada hata ya siku mbili, unaambiwa fedha zilirudishwa. Kwa nini zilirudi, wanakuambia system. Ukiuliza why hakuna notification ili mtu achukue remedial measures kwa wakati, utasikia unaambiwa, matatizo ya system hayo wala si ya vodacom.
Mtu ananunua bundles, ambazo zimeainishwa kwamba ni kwa mtumizi ama ya siku saba au 30 non limited.Jambo la ajabu kabla muda haujafika mwisho utakuta bado siku kadhaa muda ulliionunua utimie, unaambiwa kifurushi kimeisha. Ukipiga kuulizia, unaambiwa, "hayo ni matumizi yako", ukiuliza maana ya "Siku saba ama siku 30 bila kikomo ni nini ikiwa mnafika katikati mnasema muda umeisha", wanakuambia system ndivyo ilvyo.
Ukiendelea kutaka ufafanuzi unaambiwa suala lako litashughulikiwa within 24 hrs halfu hakuna kushughulikiwa na hakuma majibu.
SASA KWA WIZI HUU WA VODACOM, NINAOMBA SERIAKLI IINGILIE KATI KULINDA WANANCHI WAKE DHIDI YA WIZI HUU WA WAZI NA MAKUSUDI.
NINAOMBA REGULATOR NA SUPERVISOR WA HAYA MAKAMPUNI YA SIMU, ATUOKOE WATUMIAJI WA HUDUMA ZA KAMPUNI YA VODACOM TUINAIBIWA SANA. SOKO HURIA SI SOKO HOLELA. USALAMA WA WALAJI LAZIMA UANGALIWE. VODACOM WEZI.