GE2025 Serikali dhalimu ilibebesha Silaha hadi Traffic kuua raia Oktoba 29, 2025. Cheki video hii

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Heparin

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2021
Posts
450
Reaction score
3,368
Ama kweli hii serikali iliingia vitani na raia wake, hadi traffic walipewa SMG kuingia mitaani kutungua watu waliokuwa majumbani.

Serikali hii haina pa kujificha. Asanteni sana watanzania kwa kurekodi huu ushenzi, mmetuua sawa ila safari hii hamna pa kujificha.

Your browser is not able to display this video.

​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…