Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
kuna la kufanya kama nchi! lipo!Serikali kimekuwa kikundi Cha watu wachache Kwa ajili kupora rasilimali za wananchi.
Hivi inaweza kuingia akilini eti Burundi ambapo Huwa tunaambiwa tuhamie Diesel Lita moja wanauza 2,540 wakati Kigoma diesel Lita moja inauzwa 3,700..........!
Ushahidi upo wazi tumelipa mabilion na Bado makampuni mengine Yanataka kufungua KesiUna ushahidi? Au hisia tu
Unauliza Karafuu Pemba mkuu?Nani anaweza kuwa kahusika kwenye deal hili mkuu?
Point zako mbili za mwanzo umeandika kama mwana siasa. Ila hiyo ya tatu kama Thomas Sankara. Shukran sana siwezi punguza neno au ongeza neno.1. Una hakika na hayo unayoongea? Ukiitwa unaweza thibitisha?
2. Ningekuona wa maana sana ungelalamika na kuhoji mfumo mzima. Wacha kulaumu ulipodondokea laumu ulipo jikwaa
3. Pigania kati ya aliyeingia mkataba wa kijinga au/na aliyevunja mkataba. Kuna mmoja hapo anatakiwa anyongwe
Wooooote waliojikabidhi mamlaka pale jumba jeupeNani anaweza kuwa kahusika kwenye deal hili mkuu?
UPO LOGIC MKUU.Nakazia hujui kitu !!! Ndio maana unasema mm ni hanidhi ulijuaje!?
Hujui kitu kaka !! Kwa taarifa Yako unaemsifia jpm ndio kaizamisha nchi na aliambiwa akabisha
Toa ujinga wako hapa kwenge weweHawa viongozi tuliowaamini wana mgao! Wao ndo wanapanga fidia kiasi gani! Unakuta mlalamikaji wala hana neno na alishindwa kwenye kesi ya msingi ya kwanza! Sasa wanamwendea na kumlazimisha aifufue hiyo kesi na atashinda kwa fidia (labda tuseme 1 billion).
Hawa watanzania mafisadi wanasema andika fidia billion 75. Wewe tutakupa billion 5 alafu billion 70 ni zetu! Kesi inaendeshwa kimagumashi kimyakimya mara Tanzania imeshindwa kesi na fasta from nowhere muamala wa billion 75 unalipwa!
🗑️🗑️🗑️Mpashe huyo anataka kuchafua kikombe chako cha asali
Fukuza kenge huyo anatuonea wivu tunavyo lamba asali awamu yake ishapita asitusumbue akae kwa kutulia
Wewe sio mfuatiliaji wa mambo tu, yaani hiyo kesi imeendeshwa kimya kimya?!! Wakati kila kutu kilikuwa wazi na mawakili walionekana wakitetea kitu wasichokijua, Tatizo la nchi hii wanasiasa ndio huwaangushia jumba bovu wananchi!! Ktk hili JPM, ndio wa kulaumiwa kwani ndiye alilazimisha kufuta mkataba bila kuzingatia sheria za kimataifa zinasemaje. Na mbona bado zipo kesi nyingi tu.Hawa viongozi tuliowaamini wana mgao! Wao ndo wanapanga fidia kiasi gani! Unakuta mlalamikaji wala hana neno na alishindwa kwenye kesi ya msingi ya kwanza! Sasa wanamwendea na kumlazimisha aifufue hiyo kesi na sio mfuTiatashinda kwa fidia (labda tuseme 1 billion).
Hawa watanzania mafisadi wanasema andika fidia billion 75. Wewe tutakupa billion 5 alafu billion 70 ni zetu! Kesi inaendeshwa kimagumashi kimyakimya mara Tanzania imeshindwa kesi na fasta from nowhere muamala wa billion 75 unalipwa!
SSH ni bomuHawa viongozi tuliowaamini wana mgao! Wao ndo wanapanga fidia kiasi gani! Unakuta mlalamikaji wala hana neno na alishindwa kwenye kesi ya msingi ya kwanza! Sasa wanamwendea na kumlazimisha aifufue hiyo kesi na atashinda kwa fidia (labda tuseme 1 billion).
Hawa watanzania mafisadi wanasema andika fidia billion 75. Wewe tutakupa billion 5 alafu billion 70 ni zetu! Kesi inaendeshwa kimagumashi kimyakimya mara Tanzania imeshindwa kesi na fasta from nowhere muamala wa billion 75 unalipwa!