Mzingo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 4,729
- 10,500
Hiyo bei ni rasmi Burundi? Au ya videbe kutoka KWA madereva? Yani ni bei kwenye pump rasmi?Serikali kimekuwa kikundi Cha watu wachache Kwa ajili kupora rasilimali za wananchi.
Hivi inaweza kuingia akilini eti Burundi ambapo Huwa tunaambiwa tuhamie Diesel Lita moja wanauza 2,540 wakati Kigoma diesel Lita moja inauzwa 3,700..........!