Serikali dhalimu ni dhalimu! Harakaharaka unalipa 75 billion fidia kwa kesi ya kimagumashi?

Serikali kimekuwa kikundi Cha watu wachache Kwa ajili kupora rasilimali za wananchi.

Hivi inaweza kuingia akilini eti Burundi ambapo Huwa tunaambiwa tuhamie Diesel Lita moja wanauza 2,540 wakati Kigoma diesel Lita moja inauzwa 3,700..........!
Hiyo bei ni rasmi Burundi? Au ya videbe kutoka KWA madereva? Yani ni bei kwenye pump rasmi?
 
Yeah,

Ni Bei ya kwenye pump, nilienda kule wakati wa kurudi nikalazimika kuongeza mafuta, nilipigwa mshangao naenda kwenye pump nakuta diesel ni 4,334 ya burundi ambayo ni sawa na Tzs 2,408 Kwa exchange rate ya Tzs 1.8.

Nilitamani kubeba Hadi kwenye makopo ukizingatia wakati wa kwenda nimeweka mafuta Kigoma kwa Tzs 3,680.

Hiyo Tzs 2,540 hadi 2,600 ni kwa mikoa ya ndani kabisa huko ambayo niliambiwa ndiyo Bei ya juu kabisa kwa Burundi.
 
Hiyo exchange rates ni bank au wapi?
Kwamba 1tsh=1.8 Burundi Faranga?

Kwasababu CRDB
1TSH=1.1696 Burundi Faranga. Au

1 tsh=1.105 Burundi Faranga

Hiyo bei ya 1.8 ni rasmi?
 
Yeah,

Ni Bei ya kwenye pump, nilienda kule wakati wa kurudi nikalazimika kuongeza mafuta, nilipigwa mshangao naenda kwenye pump nakuta diesel ni 4,334 ya burundi ambayo ni sawa na Tzs 2,408 Kwa exchange rate ya Tzs 1.8.

Nilitamani kubeba Hadi kwenye makopo ukizingatia wakati wa kwenda nimeweka mafuta Kigoma kwa Tzs 3,680.

Hiyo Tzs 2,540 hadi 2,600 ni kwa mikoa ya ndani kabisa huko ambayo niliambiwa ndiyo Bei ya juu kabisa kwa Burundi.
Nakusubiri kujua kama exchange rate ya 1.8 ni exchange rates ya kwenye bank za Burundi au kitaa tu
 
Ushahidi upo wazi tumelipa mabilion na Bado makampuni mengine Yanataka kufungua Kesi
Tatizo haukumuelewa mtoa mada.

Hata kama kesi Serikali ilishinda, lakini kwa utawala huu, kesi hizo hizo zinafufuliwa upya na Serikali kushindwa.

Kwa kuwa nchi imekuwa ni shamba la bibi, basi haraka haraka hulipwa hiyo fidia ili mgao utembee!
 
Serikali kimekuwa kikundi Cha watu wachache Kwa ajili kupora rasilimali za wananchi.

Hivi inaweza kuingia akilini eti Burundi ambapo Huwa tunaambiwa tuhamie Diesel Lita moja wanauza 2,540 wakati Kigoma diesel Lita moja inauzwa 3,700..........!
Ajabu mafuta ya Burundi yanapitia bandari ya Dar.
 
Back
Top Bottom