Serikali dharimu kwa watu wake utaiona kwa matendo yake! Unalipa 75 billion harakaharaka kwa Winshear Gold Cor, kisa heti kashinda kesi?

Morning_star

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2018
Posts
6,042
Reaction score
17,320
Hawa viongozi tuliowaamini wana mgao! Wao ndo wanapanga fidia kiasi gani! Unakuta mlalamikaji wala hana neno na alishindwa kwenye kesi ya msingi ya kwanza! Sasa wanamwendea na kumlazimisha aifufue hiyo kesi na atashinda kwa fidia (labda tuseme 1 billion).

Hawa watanzania mafisadi wanasema andika fidia billion 75. Wewe tutakupa billion 5 alafu billion 70 ni zetu! Kesi inaendeshwa kimagumashi kimyakimya mara Tanzania imeshindwa kesi na fasta from nowhere muamala wa billion 75 unalipwa!
 
Ndio hao hao wanakamatisha Ndege ili wapate mgao wao Nchi ngumu sana hii harafu kwenye vyombo vya habari wanajifanya Wazalendo...
 
Hawa viongozi tuliowaamini wana mgao! Wao ndo wanapanga fidia kiasi gani! Unakuta mlalamikaji wala hana neno na alishindwa kwenye kesi ya msingi ya kwanza! Sasa wanamwendea na kumlazimisha aifufue hiyo kesi na atashinda kwa fidia (labda tuseme 1 billion).

Hawa watanzania mafisadi wanasema andika fidia billion 75. Wewe tutakupa billion 5 alafu billion 70 ni zetu! Kesi inaendeshwa kimagumashi kimyakimya mara Tanzania imeshindwa kesi na fasta from nowhere muamala wa billion 75 unalipwa!
Tulia basi uandike vizuri, maana hii taarifa nyeti sana.
 
Pesa za uchaguzi zinatafutwa,, we unadhani vile vitenge, khanga, chumvi na pombe wanazogawa kwenye kampeni pesa zinatoka wapi,, bado tunahitaji safari ya angalau vizazi vitatu vijavyo kumaliza haya mambo,,
 
Hawa viongozi tuliowaamini wana mgao! Wao ndo wanapanga fidia kiasi gani! Unakuta mlalamikaji wala hana neno na alishindwa kwenye kesi ya msingi ya kwanza! Sasa wanamwendea na kumlazimisha aifufue hiyo kesi na atashinda kwa fidia (labda tuseme 1 billion).

Hawa watanzania mafisadi wanasema andika fidia billion 75. Wewe tutakupa billion 5 alafu billion 70 ni zetu! Kesi inaendeshwa kimagumashi kimyakimya mara Tanzania imeshindwa kesi na fasta from nowhere muamala wa billion 75 unalipwa!
Kila siku nilikuwa nalalamika huku, Tanesco ya akina mkono enzi hizo, na hata sasa, huwa wanaenda kujishtaki wenyewe mahakama ya kimataifa, halafu pesa wanagawana haraka haraka, hata rufaa hawakati.., wanafanya kila wawezalo kuhakikisha wanashindwa kesi. Ndio maana yule mwizi nilisema afukiwe tu kama mzoga wa mbwa...
 
Mambo haya yanatia hasira kweli kweli!
 
Back
Top Bottom