Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Ndio hao hao wanakamatisha Ndege ili wapate mgao wao Nchi ngumu sana hii harafu kwenye vyombo vya habari wanajifanya Wazalendo...Hawa viongozi tuliowaamini wana mgao! Wao ndo wanapanga fidia kiasi gani! Unakuta mlalamikaji wala hana neno na alishindwa kwenye kesi ya msingi ya kwanza! Sasa wanamwendea na kumlazimisha aifufue hiyo kesi na atashinda kwa fidia (labda tuseme 1 billion).
Hawa watanzania mafisadi wanasema andika fidia billion 75. Wewe tutakupa billion 5 alafu billion 70 ni zetu! Kesi inaendeshwa kimagumashi kimyakimya mara Tanzania imeshindwa kesi na fasta from nowhere muamala wa billion 75 unalipwa!
Tulia basi uandike vizuri, maana hii taarifa nyeti sana.Hawa viongozi tuliowaamini wana mgao! Wao ndo wanapanga fidia kiasi gani! Unakuta mlalamikaji wala hana neno na alishindwa kwenye kesi ya msingi ya kwanza! Sasa wanamwendea na kumlazimisha aifufue hiyo kesi na atashinda kwa fidia (labda tuseme 1 billion).
Hawa watanzania mafisadi wanasema andika fidia billion 75. Wewe tutakupa billion 5 alafu billion 70 ni zetu! Kesi inaendeshwa kimagumashi kimyakimya mara Tanzania imeshindwa kesi na fasta from nowhere muamala wa billion 75 unalipwa!
Kila siku nilikuwa nalalamika huku, Tanesco ya akina mkono enzi hizo, na hata sasa, huwa wanaenda kujishtaki wenyewe mahakama ya kimataifa, halafu pesa wanagawana haraka haraka, hata rufaa hawakati.., wanafanya kila wawezalo kuhakikisha wanashindwa kesi. Ndio maana yule mwizi nilisema afukiwe tu kama mzoga wa mbwa...Hawa viongozi tuliowaamini wana mgao! Wao ndo wanapanga fidia kiasi gani! Unakuta mlalamikaji wala hana neno na alishindwa kwenye kesi ya msingi ya kwanza! Sasa wanamwendea na kumlazimisha aifufue hiyo kesi na atashinda kwa fidia (labda tuseme 1 billion).
Hawa watanzania mafisadi wanasema andika fidia billion 75. Wewe tutakupa billion 5 alafu billion 70 ni zetu! Kesi inaendeshwa kimagumashi kimyakimya mara Tanzania imeshindwa kesi na fasta from nowhere muamala wa billion 75 unalipwa!
Mambo haya yanatia hasira kweli kweli!Kila siku nilikuwa nalalamika huku, Tanesco ya akina mkono enzi hizo, na hata sasa, huwa wanaenda kujishtaki wenyewe mahakama ya kimataifa, halafu pesa wanagawana haraka haraka, hata rufaa hawakati.., wanafanya kila wawezalo kuhakikisha wanashindwa kesi. Ndio maana yule mwizi nilisema afukiwe tu kama mzoga wa mbwa...