Serikali fanyeni ukaguzi kwenye vyoo vya shule

Serikali fanyeni ukaguzi kwenye vyoo vya shule

mjingamimi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2015
Posts
42,209
Reaction score
51,004
Habarini ndugu members?

Mimi ni mwananchi wa kawaida ninayeishi bagamoyo. Nina kero nataka kuileta kwenu.

Ni kuhusu vyoo vya shule za sekondari na msingi. Hali ni mbaya sana vyoo vimejaa, vinanukaaa hata ukipita nje, hakuna maji, wanafunzi ni wengi vyoo vidogo.

Sijajua kwanini uwa hamfanyi ukaguzi kwnye hayo maendeleo.

Naomba muwe mnakagua ili kuwalinda watoto wetu na marathon ya UTI, typhoid n.k

Asanteni
 
Back
Top Bottom