Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Mkitaka serikali yetu ipate mapato kama mnavyotaka badala ya kuleta kodi za kuumiza watanzania fanyeni yafuatayo
1. Zuieni leakage ya kodi zinazotozwa kwa wafanya biashara, Bandarini, Kwenye manunuzi ya umeme, maji, usafiri wa reli, kwenye Masoko, n.k
2. Zuieni leakage ya kodi zinazotozwa kwenye madini
3. Vunjeni mikataba inayoruhusu kampuni za kigeni kulipa kodi kidogo kwa taifa letu.
4. Tungeni sheria za kuwanyonga wanaoiba na kufisadi mapato serikali.
5. Tungeni sheria za kubana matumizi ya serikali.
6. Vutieni wawekezaji waje wawekeze kwenye bidhaa mpya zenye uhitaji katika soko la dunia. Ambapo kuna gesi ya helium, LNG, madini ya kutengenezea betri za magari ya umeme n.k
7. Tungeni sheria ya kuongeza government money saving kwa kuzuia kila aina ya upotevu wa pesa ya serikali inayokusanywa kwa mifumo ya serikali.
Mimi ninaamini serikali yetu inajitosheleza kwa kila kitu tatizo lipo kwenye poor allocation of government resources.
Kuna kodi zinapotelea mikononi mwa watu. Mkiweza kuzuia kodi na mapato yanayopotelea mikononi mwa Watanzania wanaotaka kujitajirisha kwa kuhujumu kidogo kinachoingia serikali trust me hizi kodi za miamala hamtozitoza.
Nimetumia neno leakage likiwa na maana ya kuvuja. Nikiwa na maana kwamba in our government there's leakage of tax and revenue flow.
Huu uzi nimeandika kutoa ushauri kwa serikali na wabunge. Mimi yangu ni hayo pengine kuna niliyo sahau wenzangu wataongezea hapa.
Jamani karibuni kwa maoni.