Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
- Thread starter
- #21
Mimi naamini pesa zinavuja mkuu, mifumo imeshadukuliwa kitambo sana. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂. Kijana usilale wajanja walisha amka saivi.Ndugu unachekesha mashine ziko Sana tuu tena vizuri,unaweza mlazimisha mtu kudai risiti?
Shida yako unaamini pesa zinaibiwa kitu ambacho sio sawa,zinazovuja ni kidogo Sana kuliko pesa ambayo serikali inakosa kwa mwananchi na mfanyabiashara kutotimiza wajibu.
Ningekuwa mimi ndio serikali kwa mfano ningehakikisha kila kampuni nayoipa tensa specifically za ujenzi inaajiri wataalamu husika na wanalipwa stahiki husika ili nipate PAYE japo kwa miezi 6 ya kazi hizi ndogo ndogo .Hapo tuu kuna pesa ndefu lakini hili halifanyiki.