Serikali fanyeni yafuatayo kupata mapato badala ya kuleta kodi za kuumiza Watanzania

Mimi naamini pesa zinavuja mkuu, mifumo imeshadukuliwa kitambo sana. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Kijana usilale wajanja walisha amka saivi.
 
Kuna ktu nazan mwenyez mung ametunyima watanzania na waliopewa bas hawapo ktk mamlaka au wakiwepo bas na wao wanajitoa ufaham ebu jiulize uchaguz umepita juz tu na ktk kampen wanatangaza kabsa madawat vyumba vya madarasa ,barabaran umeme maj na mengine wanatuaminisha vimefkia pazur sasa kama ni ivyo kwann tusiendelee apo tulipoishia kwa maana kama tuliweza kukata sh 50 ukinunua umeme ili itumike kupelela umeme sehem nyngne ad leo karbu sehem nyngne zina umeme kulikua na haja gan ya kuweka tozo kubwa tena sehem moja ikafanye ayo ayo ambayo ata ukitoza sh mia inaweza kusaidia kulitatua ilo tatzo ,ayo mengine tufanye wameshindwa kujua tutapataje faida ayo madin ,bahari ,ges bandar ,milima mbuga zetu na mengne tufanye wanufaike wao kama wanataka ayo maendeleo yaletwe na wananch kulikua ba sababu gan ya kumkomoa kias maana unamkata mtu ela mpaka siku nyngne anafikiria kuifanya iyo huduma unamkomoa kwa sababu hana cha kuwafanya au atafanya tu munavyotaka nyie kwa kisingizio cha maendeleo ,maisha ya watanzania kwa asilimia kubwa viongoz ndio wanatukwamisha mtu unaokota ad makopo unalima unafanya kila kaz na kila njia ujikwamue serikal badala ije na nyenzo ya kukuwezesha uzd kupga hatua kwa kile unachofanya yao inakuvuta nyuma
 
πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…