benzemah JF-Expert Member Joined Nov 19, 2014 Posts 1,533 Reaction score 3,187 Aug 23, 2023 #1 Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Hassan Abbas amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa filamu ya Royal Tour ambayo mpaka sasa imetazamwa na watu Bilioni 1 duniani. Your browser is not able to display this video. Chanzo: Clouds Media
Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Hassan Abbas amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa filamu ya Royal Tour ambayo mpaka sasa imetazamwa na watu Bilioni 1 duniani. Your browser is not able to display this video. Chanzo: Clouds Media
KingCobra95 JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 3,249 Reaction score 5,863 Aug 23, 2023 #2 pumbaf
Wakili wa shetani JF-Expert Member Joined Nov 22, 2022 Posts 1,726 Reaction score 3,391 Aug 23, 2023 #3 Uongo mwingine unakufanya wewe unayedanganya ndiye kuonekana una uelewa mdogo.
covid 19 JF-Expert Member Joined May 9, 2014 Posts 6,967 Reaction score 17,452 Aug 23, 2023 #4 Data zikwapi. Viongozi wetu waache kusema vitu bila data. Uongo sio mzuri kwa dunia ya sasa yenye kila aina ya tekinoloji ni kama wanajidhalilisha tu.
Data zikwapi. Viongozi wetu waache kusema vitu bila data. Uongo sio mzuri kwa dunia ya sasa yenye kila aina ya tekinoloji ni kama wanajidhalilisha tu.
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 16,096 Reaction score 49,651 Aug 23, 2023 #5 Watanzania wenyewe walioitazama hawazidi hata milioni 10 ndiyo iwe watu bilioni 1 Hii Nchi itapiga hatua ikianza kutawaliwa na Wavaa magwanda tu sio hawa
Watanzania wenyewe walioitazama hawazidi hata milioni 10 ndiyo iwe watu bilioni 1 Hii Nchi itapiga hatua ikianza kutawaliwa na Wavaa magwanda tu sio hawa
std7 JF-Expert Member Joined May 6, 2011 Posts 2,293 Reaction score 3,928 Aug 23, 2023 #6 Enzi za Sadam Husen kuna mpambe wake alikuwa anaitwa Tarik Aziz alikuwa bingwa wa propaganda kama huyu Abbasi.
Enzi za Sadam Husen kuna mpambe wake alikuwa anaitwa Tarik Aziz alikuwa bingwa wa propaganda kama huyu Abbasi.
M Matrix19 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2020 Posts 7,731 Reaction score 13,611 Aug 23, 2023 #7 Wapi huko atuonyeshe snapshot ya hao viewers . I'm not boarding with those CCM rhetorics.
G goodluck5 JF-Expert Member Joined Jan 8, 2014 Posts 7,092 Reaction score 11,613 Aug 23, 2023 #8 Huyu ni miongoni mwa wanufaika wa Roho Tour walitumbua kodi zetu kule Marekani huku wakipanga kwenye Lodge zenye hadhi ya juu [Executive].
Huyu ni miongoni mwa wanufaika wa Roho Tour walitumbua kodi zetu kule Marekani huku wakipanga kwenye Lodge zenye hadhi ya juu [Executive].