Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Geita kimesema tayari Serikali imetenga kiasi cha Fedha shilingi Bilioni 14 kwa ajili ya kukarabati na kujenga Stendi kuu ya Mabasi Mkoani humo ambapo hivi karibuni ujenzi utaanza rasmi.
Akizungumza katika Ufunguzi wa Kampeni katika kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Unaotarajia kufanyika Novemba 27 Mwaka huu Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Oganaizesheni Ussi Gavu ambaye pia ni Mlezi wa Mkoa wa Geita amesema ukarabati huo utaondoa changamoto kwa wasafiri na wananchi wa mkoa wa Geita.
Wazungu wameshabeba utajiri wote tumeachiwa
Vilima vya udongo mfu
Mashimo yen ye wadudu hatarishi
Maji yenye sumu
Ardhi iliyoharibika
Vijana mateja na mabinti changudoa
Kazi kubwa bodaboda
Starehe yao visungura mixer energy
CCM ilaaniwe milele😭😭😭😭

Tatizo kubwa zaidi kwa Waafrika (Watu Weusi) ni AKILI MBOVU, hata kama CCM ikiamua kuondoka madarakani leo hii, lakini waTanzania wengi zaidi wataendelea kuwa na aina hii hii ya akili bila ya kuwa na Mapinduzi ya fikra, Basi hali itaendelea kubaki hivi hivi, au pengine huenda hali inaweza kuwa mbaya zaidi ya ilivyo hivi Sasa.
Tatizo kubwa zaidi ni Akili mbovu, kwa sababu Mabadiliko yoyote yale katika jamii yoyote ile huwa yanaanzia Kichwani (Kwenye Ubongo). Kichwani Akili ikiwa nzuri, Basi mabadiliko au matokeo mazuri LAZIMA yatatokea, lakini pia Akili ikiwa mbaya basi mabadiliko au matokeo mabaya pia LAZIMA yatatokea.
Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Geita kimesema tayari Serikali imetenga kiasi cha Fedha shilingi Bilioni 14 kwa ajili ya kukarabati na kujenga Stendi kuu ya Mabasi Mkoani humo ambapo hivi karibuni ujenzi utaanza rasmi.
Akizungumza katika Ufunguzi wa Kampeni katika kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Unaotarajia kufanyika Novemba 27 Mwaka huu Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Oganaizesheni Ussi Gavu ambaye pia ni Mlezi wa Mkoa wa Geita amesema ukarabati huo utaondoa changamoto kwa wasafiri na wananchi wa mkoa wa Geita.
Nimepita Geita siku 4 zilizopita niwatqke viongozi kupambana ujenzi ktk milima iliyo izunguka Geita unakomeshwa na nyie msiharibu mji wenu kama Mwanza ilivyo haribiwa kwa ujenzi holela kana kwamba hakuna maafisa mipango mji,ardhi na viongozi!
Pili muangalie uwezekano wa kuondoa msongamano ktk barabara kuu inayopita Geita,Katoro na Buseresere! Magari yanapoteza muda mwingi kutokana na wananchi wengi kujaa barabarani!