Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Naona baada ya JamiiForums kuwazundua huko wajuba wametenga fedha kukarabati kituo hicho.
Kusoma zaidi uzi wa mdau aliyewasanua angalia hapa: KERO - Geita inatoka dhahabu lakini Stendi yetu ya Mabasi kama Kijiji kilichotelekezwa
Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Geita kimesema tayari Serikali imetenga kiasi cha Fedha shilingi Bilioni 14 kwa ajili ya kukarabati na kujenga Stendi kuu ya Mabasi Mkoani humo ambapo hivi karibuni ujenzi utaanza rasmi.