Serikali haikuridhia mfumo wa vyama vingi,vyama vinalazimisha

Serikali haikuridhia mfumo wa vyama vingi,vyama vinalazimisha

swagazetu

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
4,250
Reaction score
1,470
Ndugu zangu wwnajamvi si mara ya kwamza kusikia viongozi wa serikali na ccm yangu wakisema serikali ni ya kiungwana kwa sababu eti ilipopigwa kura za maoni kuona idadi ya watu wanaopinga au wanaokubaliana na mfumo wa vyama vingi eti 80%walikataa na 20% ndo wakakubali .
hii imekuwa sera ya ccm chama changu laki ukweli ni kwamba baada ya Nyerere kufanya kura hiyo ya maoni watu 80% walikubali lakini ikumbukwe wasomi wwlikuwa wachache na hao asilimia 80 ni watu waliokuwa hawana mwamko wa elimi na hawajui maana na umuhimu wa vyama vingi.
20%waliokubali ni wale wasomi na viongozi waliokuwa karibu na Mwalimu.hivyo mwalimu kwa kuogopa kupinduliwa na wqnamapinduzi akakubali vyama vingi.pia ikumbukwe kulikuwa tayari kuna majaribio mawili ya mapinduzi yakiasisiwa Tabora.
pia Mwl na serikali ya ccm waliogopa kukosa misaada toka nchi za ulaya.

nimeamua kusema haya ili vyama pinzani wajue wapo kwa bahati mbaya si ridhaa ya serikali wala ccm.hili linadhihirishwa na jinsi serikali na chama tawala wanavyofanya juhudi kuhakikisha vinaangamia.serikali haikotayari kuona vinastawi wala vinafanikiwa.serikali inafanya nguvu zote kuhakikisha vyama vya upinzani havionekani na hii ndo furaha ya ccm.
kama serikali ingeridhia kwa moyo mmoja ingevisaidia kuimarika na ingevishirikisha katika kujenga nchi.

baadhi ya wasomi waliompinga mwl na kuhatarisha mfumo wa chama kimoja ni:
Kasanga Tumbo
Tuntemeke Sanga
Oscar Kambona
Sokoinne
wapo wengi.
Isipotoshwe ati serikali iliridhia ila ililazimishwa.angalia hila na mbinu chafuvzinazofanywavdhidi ya chama kikuu cha upinzani cha Chadema utakubali haya.
 
Back
Top Bottom