Wrevta
JF-Expert Member
- Jan 18, 2023
- 1,442
- 1,733
Kazi iendelee!
Chimbuko la serikali yaani siasa lilianza zamani kwa Waisraeli kutoka kwa mataifa, Mungu aliwaonya sana kuwa waachane na kutaka kuwa na serikali akiwaambia hawatokuwa na haki ila hawakusikia.
Leo tunayaona haya yote duniani kwa ajili ya siasa, mbaya zaidi wahanga wakubwa ni MASIKINI wa nchi za kiafrika. Mnamchagua kiongozi akiwashawishi kwa lugha tamu, ila baada ya kumchagua tu anawasahau na kuanza kuipambania familia yake. Maji hayaji kabisa, shule mbovu, miundombinu mibovu na hela zinachezewa tu na wachache.
Ndiyo maana watu wenye akili hawajihusishi kabisa na relation na serikali. Kwanza hawataki ajira kutoka kwa serikali wala elimu kutoka shule za serikali. Ni unyonyaji mkubwa. Haki iko wapi?
Hakuna kiongozi hasa wa AFRIKA aliye kwa ajili ya WANANCHI(nadhani), ila familia yake kwanza na jamaa zake. Wananchi ni kama mtaji tu wa kupatia kura yaani ulaji and nothing more.
Hakuna mwananchi anayeonewa huruma na viongozi wengi wa kiafrika hata akilia machozi ya damu... mwananchi bajeti ya siku ni 1000, kiongozi ni laki 1. Haki iko wapi?
Hata kwenye dini naona ni unafiki tu mostly... tunakatazwa kuua, kutozini,kutoiba na kutokuwa na haki, ilhali hao wanaotuambia maandiko hayo sirini wanafanya hayo hayo na wakigundulika wanajiwekea kinga kwa kusema "fuateni maneno yangu na si matendo yangu", "usimnyooshee wala kumnena vibaya masihi wa BWANA" nk!
Wanasisitiza tumtegemee Mungu pekee, ni sawa ila tunapishana nao kwa waganga wa kienyeji... tunapishana nao kwenye secret societies, tunapishana nao kwa wachawi nguli.!
Wanawalazimisha watu wasamehe wakikosewa ilhali wao wakosaji wao wanawashungulikia kimya kimya. Haki ipo wapi? Huenda ikawa kweli dini ni kwa ajili ya kutuliza vurugu hasa kwa tabaka masikini.
Nahitimisha kwa kusema, hakuna mtu aliye kwa ajili yako. Kila mtu ni kwa ajili yake yeye kwanza na jamaa zake.
Dini na sheria ni kama vililetwa kwa ajili ya watu MASIKINI, tabaka la chini ili litawalike. Hakuna haki... viongozi wa dini wanakula na kusaza, waumini wanakonda kwa njaa... hata 2000 ya dagaa kwa siku ni mtihani. Viongozi wao wananenepa tu, watoto wao wanasoma internationals.
Hakuna hii kitu inaitwa 'tuwe na hofu ya Mungu', ni mradi wa wajanja tu kwa wajinga ambao ndilo kundi kubwa. Ishi maisha yako to the fullest bila kumdhulumu mwingine... Mungu hayupo hivyo kama tulivyodanganywa.
Ujinga wa watu wa tabaka la chini ndiyo working tool kubwa wanayotumia hawa wadanganyifu... tuupige vita ujinga. Ni wakati wa kuacha kuongelea Simba na Yanga sasa na ku focus kwenye uhalisia wa nyanja nyingi hapa nchini.