Hakuna haki... ni kama asasi zote zipo kwa ajili ya kuwanyonya masikini... hakuna haja ya kuwa na hofu tena au kuogopa.Ndipo wana wa Israel wakamwambia SAMWELI Nabii Tufanyie Mfalme Ili Na Sisi tupate kuwa kama mataifa mengine basi neno hili likawa baya kwa Samweli Nabii "Lakini Bwana Mungu Akamwambia Samweli Usikasilike Maana Hawajakukataa Wewe Bali Wamenikataa Mimi Bwana MUNGU NISIWE MFALME WAO".
Sikatai Sasa Hivi Wapigaji Wapo Kila SEHEMU NI KUWA MAKINI TUHakuna haki... ni kama asasi zote zipo kwa ajili ya kuwanyonya masikini... hakuna haja ya kuwa na hofu tena au kuogopa.
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Sasa ni suala la kuwasanua wajinga tu ambao ndiyo wengi ili washtuke... wanapotezewa muda kabisa na hizi puuzi za kuitwa dini daaaah... naumia mno!Ni kweli duniani hakuna haki.
Dini ni independent kwa binadamu katika mfumo wa maisha na dini ni kufuata matendo pamoja na kusali kama kuomba unaomba mwenyewe...wala sio kufuata sijui kiongozi nan kasema mara hivi maandiko yapo ila binadamu wanajimilikisha na kuhukumu wengine mara kuponya watu ,mara watu wakatubu dhambi sijui kwa kiongozi ganiSasa ni suala la kuwasanua wajinga tu ambao ndiyo wengi ili washtuke... wanapotezewa muda kabisa na hizi puuzi za kuitwa dini daaaah... naumia mno!
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Tumepotezewa muda mno... na ndiyo maana watu wenye akili ie Bob Marley na wengineo waliowahi kuyaona haya mapema, waliuawa haraka sana. Dini ni biashara za watu mostly!Dini ni independent kwa binadamu katika mfumo wa maisha na dini ni kufuata matendo pamoja na kusali kama kuomba unaomba mwenyewe...wala sio kufuata sijui kiongozi nan kasema mara hivi maandiko yapo ila binadamu wanajimilikisha na kuhukumu wengine mara kuponya watu ,mara watu wakatubu dhambi sijui kwa kiongozi gani
Nami niseme nini basi? Nashukuru na ni jukumu letu sasa kwa sisi wachache tuliokuwa enlightened kuwanyakua wengine. Tusitake kuwa enlightened peke yetu, hapana.Nitoe Shukrani zangu za dhati kwako mtoa mada. Umeelezea vizuri na umeeleweka kabisa mkuu.
Kazi iendelee!
Chimbuko la serikali yaani siasa lilianza zamani kwa Waisraeli kutoka kwa mataifa, Mungu aliwaonya sana kuwa waachane na kutaka kuwa na serikali akiwaambia hawatokuwa na haki ila hawakusikia.
Leo tunayaona haya yote duniani kwa ajili ya siasa, mbaya zaidi wahanga wakubwa ni MASIKINI wa nchi za kiafrika. Mnamchagua kiongozi akiwashawishi kwa lugha tamu, ila baada ya kumchagua tu anawasahau na kuanza kuipambania familia yake. Maji hayaji kabisa, shule mbovu, miundombinu mibovu na hela zinachezewa tu na wachache.
Ndiyo maana watu wenye akili hawajihusishi kabisa na relation na serikali. Kwanza hawataki ajira kutoka kwa serikali wala elimu kutoka shule za serikali. Ni unyonyaji mkubwa. Haki iko wapi?
Hakuna kiongozi hasa wa AFRIKA aliye kwa ajili ya WANANCHI(nadhani), ila familia yake kwanza na jamaa zake. Wananchi ni kama mtaji tu wa kupatia kura yaani ulaji and nothing more.
Hakuna mwananchi anayeonewa huruma na viongozi wengi wa kiafrika hata akilia machozi ya damu... mwananchi bajeti ya siku ni 1000, kiongozi ni laki 1. Haki iko wapi?
Hata kwenye dini naona ni unafiki tu mostly... tunakatazwa kuua, kutozini,kutoiba na kutokuwa na haki, ilhali hao wanaotuambia maandiko hayo sirini wanafanya hayo hayo na wakigundulika wanajiwekea kinga kwa kusema "fuateni maneno yangu na si matendo yangu", "usimnyooshee wala kumnena vibaya masihi wa BWANA" nk!
Wanasisitiza tumtegemee Mungu pekee, ni sawa ila tunapishana nao kwa waganga wa kienyeji... tunapishana nao kwenye secret societies, tunapishana nao kwa wachawi nguli.!
Wanawalazimisha watu wasamehe wakikosewa ilhali wao wakosaji wao wanawashungulikia kimya kimya. Haki ipo wapi? Huenda ikawa kweli dini ni kwa ajili ya kutuliza vurugu hasa kwa tabaka masikini.
Nahitimisha kwa kusema, hakuna mtu aliye kwa ajili yako. Kila mtu ni kwa ajili yake yeye kwanza na jamaa zake.
Dini na sheria ni kama vililetwa kwa ajili ya watu MASIKINI, tabaka la chini ili litawalike. Hakuna haki... viongozi wa dini wanakula na kusaza, waumini wanakonda kwa njaa... hata 2000 ya dagaa kwa siku ni mtihani. Viongozi wao wananenepa tu, watoto wao wanasoma internationals.
Hakuna hii kitu inaitwa 'tuwe na hofu ya Mungu', ni mradi wa wajanja tu kwa wajinga ambao ndilo kundi kubwa. Ishi maisha yako to the fullest bila kumdhulumu mwingine... Mungu hayupo kama tulivyodanganywa.
Ujinga wa watu wa tabaka la chini ndiyo working tool kubwa wanayotumia hawa wadanganyifu... tuupige vita ujinga. Ni wakati wa kuacha kuongelea Simba na Yanga sasa na ku focus kwenye uhalisia wa nyanja nyingi hapa nchini.
Nadhani unajua kilichotokea na Sauli alichowafanyia. Ni hatari sana. Mungu alishaona haya, na ndiyo maana wengi wenye akili hawataki bonds za kipuuzi na serikali. Wapo kivyao vyao.! Kila upande tunajengewa hofu tu, hofu ni asili ya shetani na ililetwa kwa makusudi kabisa kwa wajinga ambao wengi wao ni masikini. #KataaHofuWaisraeli walitamani na wao wawe na serikali iwaongoze badala ya Mungu, wakampata Mfalme Sauli. Serikali ya kifalme ikaanza kuwatawala
Mfumo wake mbona alishauweka? Aliuweka kwa taifa lake teule Israel.Kama Mungu wenu hakutaka serikali alitaka mfumo gani? Nini kilimshinda ku-implement mfumo wake ilhali yeye ni muweza wa yote?
Kama serikali inakandamiza maskini kwanini mungu asifanye watu wote wawe sawa? Matajiri wanatokea wapi? Maskini anaweza kuwa tajiri and vice versa?
Hivi Jiwe alipokuwa anasema tumtangulize Mungu mbele, yeye hakuwa amepikwa kweli? Kwamba hakuwa na zindiko la kiganga?Ukitaka uwe na maisha mazuri ingia kwenye siasa ila sahau kabisa kuwa mkweli, muungwana na mcha Mungu
Brother, wengi wapo gizani bado, hasa sisi Watanzania, tusiwaache huko tuwavute mwangani nao. Wajinga ni mtaji wa wajanja kila angle yaani... dah![emoji24]Ukweli mchungu kabisa huu[emoji26]
Yaan hata hz dining ukichunguza Sana mitaji Yake Ni Watu wajinga,brainwashed[emoji26]Brother, wengi wapo gizani bado, hasa sisi Watanzania, tusiwaache huko tuwavute mwangani nao. Wajinga ni mtaji wa wajanja kila angle yaani... dah![emoji24]
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app