Serikali haikuwa mpango wa Mungu, duniani hakuna haki. Akili kichwani!

Sirikali =shetani..... Na Hao mnawaita viongozi WA dini ni MABEST wa Hao wasirikali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
 
Religion is a Fictional identity

Religion is a mental slavery

Imaginations just an illusion
Ssa jitihada ni zipi za kuwa extract wajinga kutoka huko? Nini kifanyike? Aisee hali si nzuri, wengine wana exist ila kuishi wanaishi wachache.

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Sirikali =shetani..... Na Hao mnawaita viongozi WA dini ni MABEST wa Hao wasirikali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
What an amazing duo! Kuanzia leo nakataa ujinga... ujinga ni mtaji wa watu... kama ilivyo baadhi ya magonjwa kuwa ni biashara za watu tu

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…