Mungu alikasirika mno kwa vitendo vyao vile... sana!Walipoanza kuwakataa manabii wa Mungu na kuwaua hapo Mungu akajitoa kabisa.
Hakika ona maneno ya Yesu aliwachana bila kuficha WayahudiMungu alikasirika mno kwa vitendo vyao vile... sana!
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Iko hivyo mkuu ukiuelewa huu unabii wa Mwanzo 3:15 utanishukuru.
Sina baya na mtu
...Umegeuza maneno ? Ama Mimi ndio Sijaelewa ? Nadhani inatakiwa kuwa hivi :Iko hivyo mkuu ukiuelewa huu unabii wa Mwanzo 3:15 utanishukuru.
Baada ya Adamu na Hawa kutenda dhambi Mungu aliwaambia huu unabii wa kwanza kwenye Biblia.
Huo unabii umebeba historia yote ya kwa nini leo duniani kuna mateso na jinsi Mungu atayaondoa hayo mateso
Mwanzo 3:15 BHN
15. Nitaweka uadui kati yako na huyo mwanamke, kati ya uzawa wako na uzawa wake; yeye atakiponda kichwa chako, nawe utamwuma kisigino chake.”
Ni tafsiri tu za Biblia ila ujumbe ni ule ule...Umegeuza maneno ? Ama Mimi ndio Sijaelewa ? Nadhani inatakiwa kuwa hivi :
'....Utakiponda Kichwa chake na Yeye Nyoka' atakutafuna Kisigino...!'